Kenyatta: We are a true democracy

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,173
73,615
Rais Kenyata amesema "kama sio kukomaa kwa democrasia Kenya, nisingelikuwa hapa sasa hivi eti nasubiri Supreme court itoe maamuzi kwa mara ya pili. Tungelikuwa na shida sana sasa hivi.
Tuheshimu democratic Institutions tulizoziweka zifanye kazi yake, nchi zingine wasingelikubali".
 
Aache unafiki true democracy means inclusivity! Haikuwepo haja kulazimisha uchaguzi wa 26th October bila kusikiliza NASA grievances...
Uhuru ndo aliandika kwa katiba uchaguzi uandaliwe ndani ya siku 60?? Uhuru ndo aliwaambia supreme court waamuru uchaguzi uandaliwe ndani ya siku 60? Tuachishe ujinga......,....na unafaa utambue iebc ni tume huru haishurutishwi kumskiza mtu yeyote hata Uhuru mwenyewe
 
acha kujifanya ujui kwa ushabk wa kinafk,asie jua kuna mkuu wa tume ambae kabla ya wk aliuwawa ninani? je kaimu jaji mkuu gari yake kabla chaguzi ya maridio alifanywaje? kasoro zilizo tokea kwa kufutwa uchaguzi zilikua kwenye tume ya hio unayo iita halali kwanini haikuvunjwa? ushabk wa kinafk aujawai kulieka bara la afrka salama
 
uchaguzi ulipangwa na tume kwa muongozo wa mahakama. Nasa wanahusika nini na kuandaa uchaguzi hadi wasikilizwe wao?!
Mwenyekiti wa Tume alisema hawezi ku-assure credible elections a requirement of the same SCK akalazimishwa na Uhuruto.
 
Asante sana rais Uhuru maana uvumilivu wako umeiweka Kenya kwenye level isiyo ya Kiafrika.
Yaani urais unahitaji uvumilivu maana ninavyojifahamu mimi jinsi nilivyo, singeruhusu demokrasia kiasi hiki, ningelala mbele na baadhi ya watu.

Watu wasiojulikana kwenye gari nyeupe wangelifanya yao mapema.
Yaani lazima kuna marais wa Kiafrika wanamuona Uhuru kuwa kilaza tu.
 
Mwenyekiti wa Tume alisema hawezi ku-assure credible elections a requirement of the same SCK akalazimishwa na Uhuruto.

huyohuyo alisema uchaguz ulikuwa huru na waki siku anatangaza matokeo na kukabidhi cheti kwa mshindi, hata hivyo waangalizi nao waliufagilia uchaguzi. la mwisho kuna kesi mahakamani subiri hukumu na muikubali sio Rais uthibitishwe muanze tena keleta sababu zingine, afu atenguliwe muanze kukenua meno hapa.
 
Asante sana rais Uhuru maana uvumilivu wako umeiweka Kenya kwenye level isiyo ya Kiafrika.
Yaani urais unahitaji uvumilivu maana ninavyojifahamu mimi jinsi nilivyo, singeruhusu demokrasia kiasi hiki, ningelala mbele na baadhi ya watu.

Watu wasiojulikana kwenye gari nyeupe wangelifanya yao mapema.
Yaani lazima kuna marais wa Kiafrika wanamuona Uhuru kuwa kilaza tu.

watu WASIOJULIKANA kama wale waliofanya yao kwa Musando na kwa yule jaji ambaye Mungu aliepushia mbali mkasa ule.
 
watu WASIOJULIKANA kama wale waliofanya yao kwa Musando na kwa yule jaji ambaye Mungu aliepushia mbali mkasa ule.

Ningekua rais, watu wangu wasiojulikana hawawezi kujishusha kufuata watu wa chini kama musando na jaji, hao hawana umuhimu wowote, ningefuata washindani na wapinzani wangu kwenye level ya juu na kuwapa vidonge 38 kila mmoja, niwalaze hospitalini.

Mimi huwa sipendagi ujinga tena sijaribiwi, hata majirani zangu wanalijua hilo, hizi siasa za kiafrika hazitaki demokrasia too much.
 
Mimi huwa sipendagi ujinga tena sijaribiwi, hata majirani zangu wanalojua hilo.
hata mimi nashangaa jo. anybody could've killed those people. and Junet's bodyguard was involved inthe judge's driver shooting
 
Ningekua rais, watu wangu wasiojulikana hawawezi kujishusha kufuata watu wa chini kama musando na jaji, hao hawana umuhimu wowote, ningefuata washindani na wapinzani wangu kwenye level ya juu na kuwapa vidonge 38 kila mmoja, niwalaze hospitalini.

Mimi huwa sipendagi ujinga tena sijaribiwi, hata majirani zangu wanalijua hilo, hizi siasa za kiafrika hazitaki demokrasia too much.

duuu hiyo ngumu kwangu kumesa. hivyo ungekuwa kama PaKa.
 
Ukweli ni kuwa swearing in ceremony ni 28th November ya Uhuru Muigai Kenyatta na Naibu wake William Samoei arap Ruto(5th President of the Republic of Kenya) wapende wasipende alafu kazi ya kuikuza Nchi zaidi ikiendelea huku Yatani wetu wakizidi kulemewa na Siasa na maendeleo ya kwao.
 
Asante sana rais Uhuru maana uvumilivu wako umeiweka Kenya kwenye level isiyo ya Kiafrika.
Yaani urais unahitaji uvumilivu maana ninavyojifahamu mimi jinsi nilivyo, singeruhusu demokrasia kiasi hiki, ningelala mbele na baadhi ya watu.

Watu wasiojulikana kwenye gari nyeupe wangelifanya yao mapema.
Yaani lazima kuna marais wa Kiafrika wanamuona Uhuru kuwa kilaza tu.

kama huku ni gari nyeupe je kwa uhuru kwa nini usiijue gari ilio muuwa mkuu wa tume kabla ya uchaguzi? na kwa nini gari ilio fyatua risasi makamo jaji mkuu usi ijue rangi yake,je hio ndo demokrasia,ukitaka kumsifia mtu kwa jema unafki acha pembeni mkuu,madudu yalio fanywa na tume mnayo iita tume huru kwanini haikukubali kujiunzulu,tatzo la ngozi hiz asili ya bara hizi zina ushabik mwingi wa usio zingatia ukweli-
 
Paka lazima anamshangaa Kenyatta.
Leo hii naona paka anakamata kamata mpinzani na mama yake.

kumbe hiki kitu kiko katika damu ya waAfrika!!??
yaaa lkn kweli. digging back to our history have you ever heard that chief Zwangedaba or Mkwawa or Mansa Kankani Musa or Sundiata Keita stepped down after serving his term of ten years. or have you ever heard that there were some opposition leaders during their rulership?

hiyo siyo culture yetu.
ahaaa haaaa haaaa
 
kama huku ni gari nyeupe je kwa uhuru kwa nini usiijue gari ilio muuwa mkuu wa tume kabla ya uchaguzi? na kwa nini gari ilio fyatua risasi makamo jaji mkuu usi ijue rangi yake,je hio ndo demokrasia,ukitaka kumsifia mtu kwa jema unafki acha pembeni mkuu,madudu yalio fanywa na tume mnayo iita tume huru kwanini haikukubali kujiunzulu,tatzo la ngozi hiz asili ya bara hizi zina ushabik mwingi wa usio zingatia ukweli-

Narudia tena, huyo Musando na jaji hawana hadhi ya kiasi cha kufuatwa na wadau wa gari nyeupe na kupewa vidonge 38 kwenye serikali ambayo ningeiongoza. Hao ni maskini watendaji tu na hawana lolote jipya, sasa Musando mtu wa ICT kwenye software ambayo hakutengeneza yeye, eti nihangaike naye kisa anayo password......
Huyo Musando ningemcheza abaki ameshangaa na password yake, yaani mfumo unadukuliwa bila ya yeye kujua, anaishia kuona matokeo tu na kushangaa shangaa.

Halafu kwa jaji, labda kwa nyie msiojiongezea kimawazo au kushirikisha ubongo ndio mnauziwa taarifa nyepesi kama hizi, eti assassins wamkose jaji waishie kumpiga dereva, kicheko cha mwaka, labda hao ni assassins wa kijijini wasiojua kujipanga, wafuate gari bila kujua kama jaji hayupo humo.

Siasa ni mchezo mchafu sana, na uchafu wenyewe unachezwa kwenye level tofauti sio hii ambayo mumeuziwa kiulaini hivi. Wakenya wanipe urais waone nitakavyoinyoosha nchi, mimi sio mvumilivu, tena ni mtu wa jazba sana, nitaishia kuzuia kila aina ya mikutano ya kisiasa na kuachia yangu tu au chama changu, na uteuzi utakua tu kwa wale wanaonisifia, na ukizingua naamrisha kamata kamata za polisi, na ikishindikana yaani kama polisi wakikosa nini cha kukushtaki nacho au kukubambikizia, basi hutawashinda watu wangu wasiojulikana.

Afrika na miafrika ni watu rahisi sana kuwaongoza, wababaishe tu kidogo mbona watakaa. Rais Uhuru hii demokrasia yake inawashangaza marais wenzake, wanamwona kama anawaharibia na kuwatia raia wa nchi zao kiburi. Kwanza rais wa Zambia keshatoa mikwara kwa majaji wasithubutu kuiga Kenya.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom