Kenya's two low level Skybridges crossing a public road

Mashashola

JF-Expert Member
Feb 23, 2020
4,091
5,279
First lofty goal for Kenya’s building fancies is right here at the GTC Westlands. It is the low level sky bridge. Britam moved us closer to this but it wasn’t crossing a public road.

Footbridge 1 connecting the hotel tower and the commercial podium

Footbridge 2 connecting the office tower and the commercial podium is also coming up

The next one is a real sky bridge may be on the 20th floor according to the contractor.

tapatalk_1601736211142.jpg
 
Hehehehe kali sana hii, we need lots of these all over...will save time when traversing between the buildings.
Majirani njooni mtalii....

hii tuko nayo mwaka wa 6 sasa iko ppf tower.

tofauti ni kwamba hiyo ni ndefu zaidi,subiri nitakuletea picha.
 
Akuna cha kutalii hapo ni upuzi mtupi....
Km machinga complex tu lipo crossing air bridge two buildings tena lina cross four line .....endeleni kujua vitu km hivy leoView attachment 1589637

Za hivi zipo nyingi Kenya, kuna moja nimeiona pale Diamond Plaza wakati nakimbia asubuhi, kingereza huwa kinawatesa sana Watanzania, huu uzi unazungumza kuhusu sky bridges, kitu kinakatiza kwenye orofa ya 20, acheni kuleta mipicha ya footbridges za walalahoi wa Kariokoo.
 
Kupoteza mda na monga ni ujinga....ivi ww alie kudanganya nani kuwa skywalks ni ile iliyo jengwa 20 floors? Akili za kushikiwa shida sana....unamengi ya kujifunza acha ukizuu
Kwa kifupi sky walks, ni daraja linalo jengwa kukatiza mtaa ili kunganisha two or more building in the urbun ....pia linaweza jengwa kunganisha milima
 
GTC is really going to bring some major competition to Britam towers.

The office tower has already attracted interest from the fortune 500 companies in the world and the thirty five floor hote tower will be occupied by JW Mariott Hotel.

Now imagine the view with the expressway passing over there.

Avic through GTC, has also positioned Kenya as the preferred hub of operations for chinese companies. Xinhua news agency, startimes all have put their African HQ in Nairobi and more are coming.
 
Za hivi zipo nyingi Kenya, kuna moja nimeiona pale Diamond Plaza wakati nakimbia asubuhi, kingereza huwa kinawatesa sana Watanzania, huu uzi unazungumza kuhusu sky bridges, kitu kinakatiza kwenye orofa ya 20, acheni kuleta mipicha ya footbridges za walalahoi wa Kariokoo.

wewe ni ujinga unakusumbua mzee,si kitu kingine
 
Kupoteza mda na monga ni ujinga....ivi ww alie kudanganya nani kuwa skywalks ni ile iliyo jengwa 20 floors? Akili za kushikiwa shida sana....unamengi ya kujifunza acha ukizuu
Kwa kifupi sky walks, ni daraja linalo jengwa kukatiza mtaa ili kunganisha two or more building in the urbun ....pia linaweza jengwa kunganisha milima

Nyie bado makamasi yanawatoka, hamfai kuzungumza mbele ya watu wazima, nendeni kwanza mkamilishe hizi zindua zindua za lift za kwanza mikoani....

unnamed.png
 
Nyie bado makamasi yanawatoka, hamfai kuzungumza mbele ya watu wazima, nendeni kwanza mkamilishe hizi zindua zindua za lift za kwanza mikoani....

unnamed.png
Its just a waste of my time deals with dumb as your, if this is yout dealy engineers
JamiiForums-2146971657.jpg
Screenshot_20201004-105349.jpg
 
Hehehe.... eti ndege inaisha mafuta angani, jameni ndege imekua daladala, hivi nyie watu hadi huruma aki..... Ndege ya Air Tanzania iliyotokea Dar kwenda Mwanza yalazimika kurudi Dar na kutua baada ya kuishiwa mafuta ikiwa angani
Tanzania is a dead state under Magufuli.
Sasa ndege inaisha aje mafuta? Nlidhani mafuta hupimwa ya kutosha kabla ya ndege kuburuka.

Au ishu ikue ni maintainance, ndege inaleak mafuta na haitengenezi pesa za kujifanya repair as needed.

Ndege sio kama daladala lazima iangaliwe after kila safari.
 
Back
Top Bottom