Kenya's highest building opens for business


Duh ! Jiji letu la Darisalama lapendeza utadhani ni picha za majiji ya Marekani ya Kaskazini , Ulaya, Dubai au Mashariki ya Mbali (Korea ya Kusini, Japan)


getresource.axd


Ndio hivyo hata Nairobi tunawakilisha ukanda wote
nairobi-city-by-night.jpg


nairobi-nights_mutua-matheka_k.jpg


Prints_Mutua-Matheka-Photography-Market-5.jpg


Prints_Mutua-Matheka-Photography-Market-4.jpg
 
oooh shit!! Another dick measuring thread!:(:(
That's how jf guys earn their taxes. If it wasn't for the dick measuring no one will be coming here just for a geniun non biased discussions... It is through these stupid topics that people end up educating each other about the good and the bad and the ugly and the general about each other
 
Kama ni guest here... You better get used to it and take it positively...
Si kila mara watu huwa serious joh.

Personally ilinisumbua kwa mara ya kwanza lakini baadae nikajua kuwa sometimes watu huchukulia ni joke ama game Fulani ya kujifurahisha....

Yo warmly welcome
hehe..sawa. acha nione the fun side of it with time.
 
video mpya imeshatoka ya jengo refu la britam na achana na screen iliyowekwa juu ya gorofa la KICC,hii nayo bila shaka itaiweka Nairobi kwa mataa juu juu! Yaani ni moving lights same as those zenye ziko kwa WTC NYC.
 
Infact nairobi is modern city ...... ....dar is place to have fan we have all package. ....yu guys karibuni bongo sana
 
Back
Top Bottom