Kenya's highest building opens for business

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
23,823
27,714
July 4, 2016
Nairobi, Kenya

Kenya’s highest building, the UAP Old Mutual Tower, officially opened for business

Britam Towers is the tallest building in Kenya, but UAP Towers is the highest by virtue of being on a higher ground.

The management said the 163m high, 33-storey development located in the upmarket commercial district of Upper Hill is 50 per cent taken-up.

"The take-up rate of the development is currently about 50 per cent," UAP- Old Mutual Group Managing Director in charge of Asset Management Patricia Kiwanuka told Business Daily.
uap_7.jpg

It is offering for lease 300,000 square feet of Grade A office space and 25,000 square feet of retail space.

Demand by foreign investors seeking to make Nairobi their base of Africa operations has boosted the office space market.

Source: UAP Towers rises above market concerns
 
Prolly there is a cunt sitting on a stone somewhere in iringa formulating a conspiracy theory of the same. Subiri kidogo
 
Actually it's the tallest in East and Central Africa,not just in Kenya. The title of this article should be rephrased.
 
Kenya's UAP is standing at 163 m
PSPF goes up to 153 m
TPA is at 160 m

So Kenya ndio baba na mama wa ukanda huu.

MK254
Huo mnara/mlingoti (tower) juu ya jengo halisi pia upo ktk mahesabu ya urefu wa ghorofa? au ndiyo namna ya kufanya kila aina ya mbinu ili Kenya iwepo katika rekodi mojawapo ya maghorofa marefu Afrika?

uap5.jpg

Mnara hauhusiki, hii ndio mojawapo wa sababu kwanini mnakua na jazba/hasira sana dhidi ya Wakenya na Kenya, maana kila mnapotegemea ndio sasa mumeipita Kenya, mnapata taarifa bado zimesalia hatua kadhaa. Kwa kweli hata mimi ningekua nimevalia soksi zenu nina uhakika ingeniuma na kutamausha sana....hehehehe!! Poleni
 
MK254,
Mnara kama hauhusiki kweli jengo la UAP Mutual Tower halifiki urefu wa 163m ndiyo maana waandishi wa gazeti makini la BusinessDailyAfrica UAP Towers rises above market concerns hawajajitwisha rekodi ya jumba refu Afrika Mashariki.

Inabidi wataalamu wa majengo marefu watupatie standard za uhakika maana kuna makala zinasema hiyo milingoti/minara/spires/pyramids haziunganishwi katika mahesabu, Je, MK254 tukiweka ushabiki pembeni na kwenda kitaalamu una taarifa zingine?

N.B
The calculator does not include any factors for spires or any other major projections at the roof plane, due to the wide ranging nature of these. Calculating the height of a tall building where only the number of stories is known.
 
Acha watete,Britam standing tall at 200 metres itawapa ghadhabu....na linafunguliwa mwishoni mwa mwaka huu,Hass towers nayo yaani ni supertall more than 300 metres still tuko upperhill.
 
MK254,
Mnara kama hauhusiki kweli jengo la UAP Mutual Tower halifiki urefu wa 163m ndiyo maana waandishi wa gazeti makini la BusinessDailyAfrica UAP Towers rises above market concerns hawajajitwisha rekodi ya jumba refu Afrika Mashariki.

Inabidi wataalamu wa majengo marefu watupatie standard za uhakika maana kuna makala zinasema hiyo milingoti/minara/spires/pyramids haziunganishwi katika mahesabu, Je, MK254 tukiweka ushabiki pembeni na kwenda kitaalamu una taarifa zingine?

N.B
The calculator does not include any factors for spires or any other major projections at the roof plane, due to the wide ranging nature of these. Calculating the height of a tall building where only the number of stories is known.

Huo utata wa kuhusu mnara umeibua mwenyewe, maana hamna sehemu umetajwa kwamba umehusika kwenye mahesabu. Hebu nipe taarifa kama unazo.
 
The height of the lightning arrester is not factored in this building but the next big one has a 60m architectural spire. It has become standard for buildings to have such in search for vanity height. Burj Khalifa, New York Times tower, Bank of America, Burj Al Arab have considerable portions of vanity height into their building stretching to 200 metres in some or more than 35% of the building in others
 
Back
Top Bottom