vp..watu wa kagera mliwapa chakula au bado jiwe kasema ni wavivu wakalime...bwahahaaaa...mko na stalk lkn watu mtaani vyuma vimekaza...Janja janja kwa wakenya haijaanza Leo
Hip sio sifa ya kujifisia ni upuuzi na uzwazwa was hao PHD candidates .
Eti hili nalo ni la kujisifia hahahah
Wakenya bhana watu waajabu ajabu tu
Nchi iko na hunger and famine badala ya kusolve hizi ishu kwa kuanzia miradi ya kilimo cha kumwagilia nchi iwe na chakula cha kutosha .
Mnakuja kujisifia uouuzi hapa wankenya wenzenu wanakufa njaa
Stupid typically Kenyan citizens
African typically mindset
Goddamn it
Sent using Jamii Forums mobile app
Uriona eeh, hata na mimi pia niririona jambo rire rikanishangaza kweri kweri. Harafu huyo mmoja arikuwa amefuga milasta kwenye rikichwa rake. Haireti laha kabisa. Hiyo lugha huwa inanikosha, nilikuwa na rafiki yangu flani tena hata hakuwa mkuria, alikuwa mnyamwezi. Alikuwa anaongea hivyo alafu yeye ndio alikuwa kiranja darasani. Ludi kure Swareh, nimekuambia ludi kure! 😀harafu niriona wakenya wamewaibia rugha yenu ya kiswahiri.Huko justlearn tutors wengi wa Swahili ni wakenya. Mtzedi ni mmoja.
Wakenya kwa kuchangamkia opportunities hawajambo.
😁😁😁😁😁hadi raha. Matamshi na maandishi the same. Hawajui kutofautisha r na l.Uriona eeh, hata na mimi pia niririona jambo rire rikanishangaza kweri kweri. Harafu huyo mmoja arikuwa amefuga milasta kwenye rikichwa rake. Haireti laha kabisa. Hiyo lugha huwa inanikosha, nilikuwa na rafiki yangu flani tena hata hakuwa mkuria, alikuwa mnyamwezi. Alikuwa anaongea hivyo alafu yeye ndio alikuwa kiranja darasani. Ludi kure Swareh, nimekuambia ludi kure! 😀
kisha hujipiga kifua km kiswahili ni cha watanzania...siku zote lugha km si yako utajulikana tu kwenye matamshi ya kiboya km ayo...😁😁😁😁😁hadi raha. Matamshi na maandishi the same. Hawajui kutofautisha r na l.
Mimi huwa naona ikiwa freshi tu, ni identity. Kuna mtu aliniambia ukiskia mtu akiongea hivyo au kwa lafudhi yeyote ile nyingine jua kwamba huyo mtu anafahamu na kuongea lugha mbili au zaidi kwa ufasaha.hadi raha.Matamshi na maandishi the same. Hawajui kutofautisha r na l.
Nasikia walimu wao wanawafundisha hivyo.kisha hujipiga kifua km kiswahili ni cha watanzania...siku zote lugha km si yako utajulikana tu kwenye matamshi ya kiboya km ayo...
yani mtu unaandika vyenye unatamka..yani sawa na kukaririshwa vile...
Hata wakenya wengi wanaongea kiswahili kibovu sana lakini wanaandika vizuri. Kuna wale r na l ni tatizo kutamka but wanaandika vizuri.Mimi huwa naona ikiwa freshi tu, ni identity. Kuna mtu aliniambia ukiskia mtu akiongea hivyo au kwa lafudhi yeyote ile nyingine jua kwamba huyo mtu anafahamu na kuongea lugha mbili au zaidi kwa ufasaha.
we mdada wacha utani aisee..mbna warimu wao naskia wariitwa sauzi kuwafunza kiswahiri kure...wacha kuzuga bwanaNasikia walimu wao wanawafundisha hivyo.
ROR😂 hebu rara sasa achana na warimu wa bongorara. aramsikiwe mdada wacha utani aisee..mbna warimu wao naskia wariitwa sauzi kuwafunza kiswahiri kure...wacha kuzuga bwana
Binuli...ROR😂 hebu rara sasa achana na warimu wa bongorara. aramsiki
Nimekuelewa, hapo kwa kuandika kweli ni tatizo sanasana kwa mtu ambaye amesoma. Ila mtu kuongea lugha nyingine na lafudhi ya kwao sio jambo la kushangaza, ni identity tu.Hata wakenya wengi wanaongea kiswahili kibovu sana lakini wanaandika vizuri. Kuna wale r na l ni tatizo kutamka but wanaandika vizuri.
Kwanza wakenya wanapenda kuchekana sana kwa sababu ya lafudhi. Wanakera sana
"Vyenye" ni upupu gani!? Wewe ni mmoja kati ya wakenya wengi ambao mna Kiswahili kibovu humu JF. Kuna mwingine anajiita wangeci, huyo mpaka kingereza hajui! Alikua akiandika inakua kama kituko ameamua kuhepa JF. Wakenya ambao wana haki yakukosoa mtz kuhusu Kiswahili humu hawazidi watatu.kisha hujipiga kifua km kiswahili ni cha watanzania...siku zote lugha km si yako utajulikana tu kwenye matamshi ya kiboya km ayo...
yani mtu unaandika vyenye unatamka..yani sawa na kukaririshwa vile...
Hahaaa..err day i love you more [emoji41]. Ume mpa jibu safi sana kilaza huyoBetting is also an online job. Try it.
jobless la kikenya likitema povu jingi.Do you think I'm jobless like you who move from Twitter to Facebook to YouTube to Google to Instagram in search of consolation. It's only jobless people like you that keeps talking how jobless other people are to cover your wound. My friend you're alone in that bracket.
Sent using Jamii Forums mobile app
mwasiti hujambo?... salimia mama yako.Si mtu anipatie online job nijikumbushe how I used to cover my immoral lifestyle.
Ahaaa haaa haaa
Which Europe r u talking about brother?
Not all Tanzanians as I have opened the link and read the stuff.Telling a Tanzanian to read a link is like forcing a dog to chase away an invading leopard. These people are lazy borne, they see reading as a waste of time.
Sent using Jamii Forums mobile app
That comment you just quoted was meant for ichoboy01.
Wakenya ndio wanafundisha kiswahili nchi za nje. Hata waafrika kusini wakihitaji walimu nina uhakika wakenya watachangamkia hii fursa.
Ama wabongo wameshaenda tayari?
Haya basi. Afadhali wale hukaa kimya kuliko wale hujifanya magwiji wa kila kitu and end up typing nonsense.naona game over amekuonya dhidi ya kuongea na watu ambao HAWAJASOMA na WENYE UELEWA FINYU.Nikisema napenda KUONGEA na WATU WENYE UELEWA wa juu na WALIOSOMA, unaanza kuwa mnyonge.