Hujakosea hata kidogo. Wahenga walisema "mpenda chongo huona kengeza"!
Soma heading ya hii thread tena ..Jamani article haijasema wakenya ni the ugliest, bali funny looking.
Kwenye red wanafanana na kabila moja hapa tz ila ni weupe.
Kuwa open sema akina mama wa kichaga walio wengi ndio wana hiyo shape ya ''inverted pyramid''
Danganyaneni tu.
Washenzi sana hao wanaoongea huu ******
Kuhusu ewengine.
Kama kweli hii article ni ya ukweli nawalaaniwe..
Wakalenjin si ndo Wanandi...Lile kabila la wakimbiaji, wakalenjin, nao mh!