Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,267
What a tragedy, any clues on the people in the I'll fated chopper?
Sasa hao ni top government officials au retired government officials? Curious!Inasemekana aliyekua makamu wa Rais kipindi cha Moi, Prof. George Saitoti na Internal Security Ass. Minister Orwa Ojode wamerudisha jezi katika hii ajali.
R.I.P.
Sasa hao ni top government officials au retired government officials? Curious!
Sasa hao ni top government officials au retired government officials? Curious!
Kurudisha jezi ndo nini?????
It means kicking the bucket or going west.
Lukolo, unaishi dunia hii kweli? Prof Saitoti ni waziri wa Internal Security wa serikali ya sasa ya Kenya! Huyo mwingine ni Assistant Minister in the same ministry.
Nashukuru kwa ufafanuzi, but niliyemquote aliandika George Saitoti aliyekuwa makawa wa Rais wakati wa serikali ya Moi, nikadhani hivi sasa hana cheo tena. Got you men!Inaelekea humuelewi Saitoti ni nani Kenya, he is yes, a top government official and a very strong and influencial politician
Inasemekana aliyekua makamu wa Rais kipindi cha Moi, Prof. George Saitoti na Internal Security Ass. Minister Orwa Ojode wamerudisha jezi katika hii ajali.
R.I.P.
Inaelekea humuelewi Saitoti ni nani Kenya, he is yes, a top government official and a very strong and influencial politician