Kenyan oil among the best globally and could be priced higher than oil produced by some Arab states

Is normal kama yale ya uganda na sehemu zingine. Acha kujazwa ujinga na wewe ukajaa.

Normal or Not.... Nowonder your Education system is one of the lowest in the world if it can produce Educated fools like you. Do you ever listen to yourself when you write anything.....
 
Kenya's oil is classified as light and sweet, meaning it has less sulphur. This type of oil is known to fetch higher prices in the global market because dealers find it easier to refine and it produces high value products - petrol, diesel and kerosene. It is, however, waxy and sticky, making it necessary to heat it during transportation.

Labda alitaka source itoke kwa Mwananchi newslaper.
 
plz Depay usibishane na huyu mwanadamu kwa jina la Annael......mwache na ubishi wake...lazma ashinde kila argument....wakati wenzake walishaona makosa yao na wakapita kimya kimya...yeye anabaki kuonyesha upumbavu ulio ubongoni mwake...nakushauri usibishane naye
 
Normal or Not.... Nowonder your Education system is one of the lowest in the world if it can produce Educated fools like you. Do you ever listen to yourself when you write anything.....
Kwikwikwi. Zaidi sana mafuta yenu contains high concentration of water. Ndiyo maana wajika kama wewe mtaendelea kuwasujudia elite society.
Kwikwikwikwi yaani wakenya mnadanganywa kidogo tunaingia. Kwikwikwi hata sasa hivi naweza kukuingiza kwenye 18 zangu ukaingia na kukupiga za uso.

Kwikwikwikwi. Huna uwezo wewe
 
Sawa sawa.....
 
Normal or Not.... Nowonder your Education system is one of the lowest in the world if it can produce Educated fools like you. Do you ever listen to yourself when you write anything.....
imagine hawa ndio waliosoma tanzania!!!! dah!! ndio maana hata rais kutamka tu neno moja la kiingereza matata!!!
 
Kwikwikwi. Zaidi sana mafuta yenu contains high concentration of water. Ndiyo maana wajika kama wewe mtaendelea kuwasujudia elite society.
Kwikwikwikwi yaani wakenya mnadanganywa kidogo tunaingia. Kwikwikwi hata sasa hivi naweza kukuingiza kwenye 18 zangu ukaingia na kukupiga za uso.

Kwikwikwikwi. Huna uwezo wewe
una miaka ngapi?
 
Kenya ikibarikiwa, Tz tutapata walau faida kutoka kwao kwasababu tumepakana nao. ni sawa na mexico na marekani, ukiiondoa mexico ukaipachika africa ikawa mbali na US, itaathirika na mengi sana.wanafaidika na mambo mengi sana na uchumi mzuri wa marekani. hivyo, uchumi ukiwa mzuri kenya lazima tutafaidika nao kiuchumi/kibiashara etc. tunatakiwa kuwaombea na kutoa ushirikiano, and vise versa.

pamoja na kwamba, tunatakiwa kuwa very cautious na media ya kenya, huwa wanalipuka na habari ambazo hazina uhakika kabisa. kuna ushahidi mwingi tu wamefanya hivyo, wasije kuwa wanatupatia matumaini hewa. binafsi kama mtz, ningependa kenya ipae kiuchumi zaidi ya hapo walipofikia ili kutuchalenji watz na pia, wakenya wakiwa na uchumi mzuri watakuja kuwekeza tz na tutafaidika nao. ni hasara kenya na tz wote tukiwa masikini na hatuendelei, ni hasara kwa pande zote mbili.hili halina ubishi.
 
Kufa kazikwe kesho. Saitan.
Tayari nakusogeza kwenye povu. Siyo muda utaanzs kutoa povu. Hapo ulipo umevimba kweli. Kwikwikwi, unatoa hewa taratibu tofauti na mfumo wa hewa. Kwikwikwikwi.
 
angalia kwa mfano SGR, jinsi vituo walivyovijenga kwa umahiri, utafikiri sio Africa, but its happening in kenya. watz tunatakiwa kujifunza mazuri ya kenay tuache kuponda kila kitu, na tujue hao ni neighbours ambao wakifanikiwa na sisi tutafanikiwa kwa namna moja au nyingine kwasababu ni majirani zetu na tumeingiliana sana kiuchumi na kibiashara.
 
Tayari nakusogeza kwenye povu. Siyo muda utaanzs kutoa povu. Hapo ulipo umevimba kweli. Kwikwikwi, unatoa hewa taratibu tofauti na mfumo wa hewa. Kwikwikwikwi.

Tihahahhaaaaa.... Tehehehee.... Huna uwezo kabisa kujibishana nami. Weka fullstop hapo
 
Tayari nakusogeza kwenye povu. Siyo muda utaanzs kutoa povu. Hapo ulipo umevimba kweli. Kwikwikwi, unatoa hewa taratibu tofauti na mfumo wa hewa. Kwikwikwikwi.

Mwambie huyu hapa mwenyewe hana kichwa
angalia kwa mfano SGR, jinsi vituo walivyovijenga kwa umahiri, utafikiri sio Africa, but its happening in kenya. watz tunatakiwa kujifunza mazuri ya kenay tuache kuponda kila kitu, na tujue hao ni neighbours ambao wakifanikiwa na sisi tutafanikiwa kwa namna moja au nyingine kwasababu ni majirani zetu na tumeingiliana sana kiuchumi na kibiashara.
 
Mwenye aliroga huyu alitupa kifungu Indian Ocean... Have you seen a fool trying to prove a point???
:D:D:D:D:D:D:D:D:Di get u bruh....this guy can even try to prove to you that 1+1 is not 2....ata kataa kata kata na akupatie sources kutoka only God knows where...huyu pengine mwendawazimu
 
una miaka ngapi?
Kwikwikwi. Umeshindwa kuelezea thread yenu sasa umehamia kuuliza miaka yangu. Hiyo ni ishara ya kushindwa kujieleza na kuanza kutafuta personal attack.

Wewe toa maeleza ya maana tutakuelewa. Ukileta bla blah hapa utaangukia pua. Propaganda hizo hazina nafasi. Njoo na scientific arguments with statistical evidences. La sivyo utatoa povu bure. Nenda kajiandae kisha uje na taarifa kamili. Sorry to say this. Hujajiandaa

Kwikwikwikwi
 
kuna sababu mimi kukuuliza miaka yako....pengine ukatuambia wewe ni teenager tutakuelewa...sai twafikiri wewe akili punguani
 
kuna sababu mimi kukuuliza miaka yako....pengine ukatuambia wewe ni teenager tutakuelewa...sai twafikiri wewe akili punguani
Answer my questions I asked you. Usikimbie hapa tupo public ukijibu maswali yangu wengi watapata kujua.

Sasa unapokaa na majibu kwenye kichwa chako unategemea sisi tufikirie kama wewe!? Mbona unakuwa na akili ya kikoloni kiwango hicho.

I asked you straight questions sasa unataka kulazimisha kujibu bila majibu!!?
Give me scientific evidences with statistical data to show that kenya has best petroleum in the world.

Sasa nakuuliza maswali hayo unaanza kuuliza umri wangu. Such answer proves you know nothing. Hapa unaleta bla bla.
 
Mamarosa, labda utuambie wewe faida itaenda kwa nani kwa kuwa mna lots of experience considering mmekuwa na tanzanite, diamond, Gold, Gas na rasilimali nyingi tu ambazo hazijawasaidia kama nchi, hizo rasilimali zenyu ni za wazungu pia? hizo mining rights mlisign contracts mkiwa usingizini ama kingereza ndio kidogo tricky wakuu waka sign tu bila kusoma. Kenya hatuwezi pelekwa mkenge kama nyie nyumbuz, learn to differentiate.
hehehehehe umempa ngumi nzito nzito kweli...

Leo tunahangaika kuzuia makontena ya mchanga yasisafirishwe wakati waliosign mikataba ya kinyonyagi wanadunda tu humu nchini na hakuna wa kuwagusa..
 
Back
Top Bottom