Kenyan oil among the best globally and could be priced higher than oil produced by some Arab states

elbarik

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Messages
562
Points
500

elbarik

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2016
562 500

NAIROBI, KENYA: Kenya's crude could be priced higher than oil produced by some Arab states.
The Financial Standard can exclusively report that Kenya's crude grade ranks among the best in the world. This is according to preliminary tests carried by the Ministry of Energy and Petroleum and the companies that have been exploring oil in Turkana.

According to Ministry of Energy officials, preliminary oil tests by Government show it has low sulphur content and density, which means is sweet and light. The two – density and sulphur content – are among the key quality measures for crude.

It usually results in crude classified as light or heavy according to density, and sweet or sour depending on its sulphur content. Premium crude oils are usually light and sweet.

Tullow Oil, which has also tested the oil separately, said Kenyan crude is of high quality. It is likely to fetch a premium price once it hits the market.

A Ministry of Energy official, who declined to be named because he is not authorised to speak on behalf of the Government said Kenya's crude oil is almost akin to Brent crude, highly rated oil from UK's North Sea, which is a blend of 15 different crude oils from the area. This is in comparison to its sulphur content and density.

Crude oil density is measured using the American Petroleum Institute (API) Gravity Standard, whereby oil with an API of over 30 degrees Fahrenheit are light while those with an API of 20 degrees or less are considered heavy and cost more to extract and refine. Oils with high sulphur content, usually over 0.5 per cent of the total weight, are considered sour and anything less than 0.5 per cent being considered sweet.

Kenyan oil has an API Gravity of between 25 and 38 degrees according to the preliminary tests. Its sulphur content falls within the under 0.5 per cent level - making it light and sweet. According to sources, some wells at the Lokichar Basin have a sulphur content of below 0.1 per cent, making oil from these wells among the sweetest in the world.

The oil from the Lokichar Basin compares favourably to the best crude oil in the world, which is produced in Libya with API gravity ranging between 32 and 44 degrees and sulphur content of as low as 0.07 per cent. The only other crude that beats Libya is Malaysian oil.

It is also in comparison to Brent crude, which has an API of 38 degrees and a sulphur content of 0.37 per cent. Brent is the second most popular benchmark after the American West Texas Intermediate, which has an API of 39.6 degrees and a sulphur content of 0.24 per cent. Dubai crude – which is however not a representative of all Middle Eastern Crude Oils due to the many different grades in the region – has an API of 31 degrees and sulphur content of two per cent.

The flipside however is that the Kenyan oil is waxy with a high pour point. It stops flowing at fairly low temperatures, meaning it would need heated transport and storage facilities.

The Ministry of Energy official explained that waxiness is not necessarily a major issue of concern, and occurs in both light and heavy crude oil. Light sweet crude oil are easier and cheaper to process. The oil also flows to the surface and remains in a fluid state but solidifies when moved to areas where temperatures are lower than those in Turkana.

Tullow and Africa Oil have in their earlier disclosures to investors said the Kenyan crude is of high quality, with oil from some of the wells having an API Gravity of up to 38 degrees. The firm confirmed to the Financial Standard that tests it has carried out so far show Kenyan crude to be of high quality.Source; Revealed: Kenya’s oil among best globally
 
Ndahani

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2008
Messages
16,168
Points
2,000

Ndahani

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2008
16,168 2,000
Hawa jamaa zangu kwa kupiga mdomo hawawezekani. Hapa kuna kitu wanatafuta....ndio maana pipeline ilivuka mpaka
 
Hoshea

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
4,288
Points
2,000

Hoshea

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
4,288 2,000
Wakenya bwana, eti best oil, mweee
Huo ni uzushi wa lengo la kibiashara, ili kuhalalisha kupandishiwa bei ya mafuta.
Wanajua hawa raia wa Kenya ukiwaingilia kwa gia ya kuwasifia, ni ngumu kupindua.
So wamewaletea hiyo hoax alafu soon utasikia bei ya mafuta zimepanda.

Kwani ltr moja ya petrol sh ngapi kenya na tz
 
MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
15,819
Points
2,000

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
15,819 2,000

Wapi na wapi yaani upo off topic kabisa.
Mbona msiwe mnatafuta mkalimani awe anawatafsiria taarifa kabla ya kujibu.
 
Smatta

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Messages
2,350
Points
1,500

Smatta

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2008
2,350 1,500
Swali ni kwamba who takes the profit? Isitoshe hakuna kitu kama Kenyan Oil bali kuna Oil which is found in Kenya lkn ni Mzungu's Oil!
labda utuambie wewe faida itaenda kwa nani kwa kuwa mna lots of experience considering mmekuwa na tanzanite, diamond, Gold, Gas na rasilimali nyingi tu ambazo hazijawasaidia kama nchi, hizo rasilimali zenyu ni za wazungu pia? hizo mining rights mlisign contracts mkiwa usingizini ama kingereza ndio kidogo tricky wakuu waka sign tu bila kusoma. Kenya hatuwezi pelekwa mkenge kama nyie, learn to differentiate.
 
hydrogen

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2012
Messages
729
Points
500

hydrogen

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2012
729 500
Huo ni uzushi wa lengo la kibiashara, ili kuhalalisha kupandishiwa bei ya mafuta.
Wanajua hawa raia wa Kenya ukiwaingilia kwa gia ya kuwasifia, ni ngumu kupindua.
So wamewaletea hiyo hoax alafu soon utasikia bei ya mafuta zimepanda.

Kwani ltr moja ya petrol sh ngapi kenya na tz
Bei ya mafuta hailingani nchi nzima kutokana na gharama za kufikisha hayo mafuta sehem husika ili kucompare vizuri Cheki bei ya mafuta kati ya Dar na mombasa
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Messages
20,574
Points
2,000

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2015
20,574 2,000
Mamarosa, labda utuambie wewe faida itaenda kwa nani kwa kuwa mna lots of experience considering mmekuwa na tanzanite, diamond, Gold, Gas na rasilimali nyingi tu ambazo hazijawasaidia kama nchi, hizo rasilimali zenyu ni za wazungu pia? hizo mining rights mlisign contracts mkiwa usingizini ama kingereza ndio kidogo tricky wakuu waka sign tu bila kusoma. Kenya hatuwezi pelekwa mkenge kama nyie nyumbuz, learn to differentiate.

Haha kama Rift Valley yote ni Mali ya Muzungu ije kuwa huko desert Turkana? Unafikiri Wanasiasa wa Kenya wanawajali Wananchi wa Turkana wanaokufa njaa kila siku? Kenya nimetembea sana ukifika Malindi na Lamu Wakenya wamewauzia Wazungu Visiwa vyote yaani Kisiwa ni private property ya Muzungu na hakuna Mkenya mweusi anaruhusiwa kwenda, Malindi Kiitaliano ni second language, hili Tanzania yetu pmj na mapungufu yetu haliwezekani kwani Kisiwa ni Mali ya Wananchi wote na huwezi kumiliki huo ni mfano tu, hata hiyo Oil Wanasiasa wa Kenya washagawana na Wazungu long time, hakuna kitu hapo, ...
 
Hoshea

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Messages
4,288
Points
2,000

Hoshea

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2012
4,288 2,000
Wapi na wapi yaani upo off topic kabisa.
Mbona msiwe mnatafuta mkalimani awe anawatafsiria taarifa kabla ya kujibu.
Inaweza ikawa sio kweli lkn,
Unajua wameandika details mingi sana ambazo wananchi wengi hawataweza kucomprehend wala kupima. What if it is not true 100%, na lengo ni kuwadanganya ili wawaibie. Lazima ujihoji in details mazee sio kufuata bendera tu, iyo mafuta hayaharibu kabisa mashine au yanatoa carbon safi zaidi au
 
Smatta

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2008
Messages
2,350
Points
1,500

Smatta

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2008
2,350 1,500
Haha kama Rift Valley yote ni Mali ya Muzungu ije kuwa huko desert Turkana? Unafikiri Wanasiasa wa Kenya wanawajali Wananchi wa Turkana wanaokufa njaa kila siku? Kenya nimetembea sana ukifika Malindi na Lamu Wakenya wamewauzia Wazungu Visiwa vyote yaani Kisiwa ni private property ya Muzungu na hakuna Mkenya mweusi anaruhusiwa kwenda, Malindi Kiitaliano ni second language, hili Tanzania yetu pmj na mapungufu yetu haliwezekani kwani Kisiwa ni Mali ya Wananchi wote na huwezi kumiliki huo ni mfano tu, hata hiyo Oil Wanasiasa wa Kenya washagawana na Wazungu long time, hakuna kitu hapo, ...
mi nauliza rasilmali za Tanzania zinamfaidi nani wewe unaniletea story za malindi na Lamu. smh
 
Depay

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2015
Messages
6,431
Points
2,000

Depay

JF-Expert Member
Joined Jun 22, 2015
6,431 2,000
Haha kama Rift Valley yote ni Mali ya Muzungu ije kuwa huko desert Turkana? Unafikiri Wanasiasa wa Kenya wanawajali Wananchi wa Turkana wanaokufa njaa kila siku? Kenya nimetembea sana ukifika Malindi na Lamu Wakenya wamewauzia Wazungu Visiwa vyote yaani Kisiwa ni private property ya Muzungu na hakuna Mkenya mweusi anaruhusiwa kwenda, Malindi Kiitaliano ni second language, hili Tanzania yetu pmj na mapungufu yetu haliwezekani kwani Kisiwa ni Mali ya Wananchi wote na huwezi kumiliki huo ni mfano tu, hata hiyo Oil Wanasiasa wa Kenya washagawana na Wazungu long time, hakuna kitu hapo, ...
Looool!!! Loool.... Ignorance has NO defense. Pass me more popcorns.....
 
Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,830
Points
2,000

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,830 2,000
Wewe ndo mjinga.... Hauelewi analysis ya mafuta inafanywa namna gani.
Haya leta hiyo analysis hapa. Je, mafuta ya Kenya yana contents zipi tofauti na mafuta mengine!? Mbona wakenya mnafanywa kama watoto wajinga na wanasiasa wenu!? Hapo mnataka kupigwa kuweni makini.
 
MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
15,819
Points
2,000

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
15,819 2,000
Haha kama Rift Valley yote ni Mali ya Muzungu ije kuwa huko desert Turkana? Unafikiri Wanasiasa wa Kenya wanawajali Wananchi wa Turkana wanaokufa njaa kila siku? Kenya nimetembea sana ukifika Malindi na Lamu Wakenya wamewauzia Wazungu Visiwa vyote yaani Kisiwa ni private property ya Muzungu na hakuna Mkenya mweusi anaruhusiwa kwenda, Malindi Kiitaliano ni second language, hili Tanzania yetu pmj na mapungufu yetu haliwezekani kwani Kisiwa ni Mali ya Wananchi wote na huwezi kumiliki huo ni mfano tu, hata hiyo Oil Wanasiasa wa Kenya washagawana na Wazungu long time, hakuna kitu hapo, ...
Hivi mahoteli yaliwacha kuwatoza Watanzania kila mnapokwenda kubarizi kwenye ufuoni, kule Dar. Maana nilishangaa sana tofauti na ilivyo Mombasa kwamba Wakenya wana ruhusa ya kuogelea kwenye fukwe za nchi yao, Watanzania lazima walipie kuanzia Tsh 10,000 kwenye beach zilizopo ndani ya ardhi ya nchi yao waliopewa na Mwalimu Nyerere.

Kuna kipindi NEMC walijaribu kuingilia http://www.unapitwa.com/moto/a5ibuh
 
Forum statistics

Threads 1,379,088
Members 525,311
Posts 33,734,723
Top