Rugby Union
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 402
- 257
Unamaanisha kuwa Mejja nae atapotea?Lakini angalia kina inspekta wapo wapi sasa..
Unamaanisha kuwa Mejja nae atapotea?
Kwa hiyo una maana amepotea kwa kuwa anaimba Rap Katuni?siyo atapotea,alishapotea.amebeki kuwa artist wa msimu maalum.anavuma kidogo halafu anapotea.
Ndio hiyo nimeambatanisha hapoBarua nayo ya Mejja cool sana!