Kenyan airport project ignites diplomatic row with Tanzania

... kulikuwa hamna sababu ya kuweka tozo kubwa kiasi kile KIA mpaka makampuni ya ndege yanaogopa kutua
Mwandishi hakueleza ni kivipi KIA ina "high landing costs," post yako imenisaidia kuelewa, great.

Anyhow, huu mtafaruku ukizidi kuwa mkubwa utafufua nyota ya Lowassa kwa jamii, na ndoto zake.

Kwa sababu ataonekana ana utetezi wa kweli wa maslahi ya nchi. Lini umewahi kusikia Kikwete akiikoromea nchi/business/taasisi ya kigeni?

 
Akina Lowassa waache unafiki wanajifanya kupinga ujenzi wa Airport Kenya huku wanapigia kampeni East African Community. Kifupi watanzania hatutaki shirikisho la africa mashariki (EAC) ni kunyonyana tu kama Ujerumani anavyonyonywa na EU.

Too blind to see what Berlin 1889 partition of Africa conference is doing to us! Mawazo mgando balaa .Nyumbu wanatuzidi ujanja,washaelewa umuhimu wa borderless EA for survival.Man is rather poor Political Animal.
 
acha tu wajenge wachaga watazidi kupata ajira za kupokea watalii na kuwapeleka marangu gate,hotel kama Marangu na lodge kibao zaitaneemeka,KIA kuna uhuni sana rushwe kubwa,ada kubwa usimwamshe alielala,
 
* Lowassa and CCM Government ignore the Kilimanjaro Airport for a reason not the area to be developed for the benefits of building no where to go airport in Bagamoyo maybe A government that robs Peter to pay Paul can always depend on the support of Paul.

Mkuu umenigusa sana hapo! Genius!!!
 
Huwa nikipita KIA pale huwa nataka hata kulia! maana KLM inatema watalii wa kufa mtu ila hicho kiwanja utafikiria kilitengenezwa kupeleka watu Semunge kwa babu!hakina hadhi kabisa! shame!!sasa ushuru wote sijui unakwenda wapi! waacheni wakenya wajenge Taveta!
 
* Lowassa and CCM Government ignore the Kilimanjaro Airport for a reason not the area to be developed for the benefits of building no where to go airport in Bagamoyo maybe A government that robs Peter to pay Paul can always depend on the support of Paul.

Mkuu umenigusa sana hapo! Genius!!!

8ernard Shaw English Playwright and Critic.
 
Too blind to see what Berlin 1889 partition of Africa conference is doing to us! Mawazo mgando balaa .Nyumbu wanatuzidi ujanja,washaelewa umuhimu wa borderless EA for survival.Man is rather poor Political Animal.
Fikra pevu zako hebu tuelezeni faida za EAC???? Serikali ya Tanzania inaogopa kufanya petition kuuliza watanzania kuhusu EAC kwani wanaaogopa matokeo wanayajua kwamba HATUITAKI EAC!!! Kwendeni huko wakenya na tamaa zenu za ardhi na rasilimali za Tanzania hatutaki.
 
si nimekupa sababu?What do we benefit from nyang'aus other than them stealing gold,tanzanite,tourism....from dummies like JK and Kabila?

Build bridges son, not walls. Its plainly dumb for criticizing Kenya for wanting to build an airport in Taveta, i think y'all have alot of free time in your hand.. sasa tukitaka kutengeneza military baracks pale loitoktok, pia italeta diplomatic row? to each his own, each country has its own interest and strategies and I dont think Kenya goofed for showing interest in Mt. Kili, I think the timing was wrong with this EAC thing going on.
 
Waacheni wakenya wajenge kiwanja, hata uguse mpaka wetu as long upo kwao.. Ni nchi yao na wana uhuru wa kufanya watakavyo. Tuwe na aibu wakati mwingine kwa kutoa manung'uniko yasiyofaa. Au sivyo, na sisi tuache miradi yeyote ya kutumia maji ya mto Nile kwani wamisri wataathirika sana maji yakikosekana kwao.
 
simple!, let them land in Kenya,but charge them heavily if crosses to tour in TZ compared to the one landing in TZ 1st , some sort of discouraging them.
 
Back
Top Bottom