Kenya Yashika nafasi ya 6 na yakwanza Africa kuwa na kiwango kikubwa cha rushwa

Hata hapa Tanzania. Hata sisi watu wa mauzo hatutumii taaluma yetu... You go to one or two offices, you meet procurement guys, you promise them some, then they buy from you. There comes another sales person na blah blah za sales presentation, anaambulia manyoya!
 
Toa maelezo wewe
yaani mmeichapa Somalia!!
Kama umengalia video ungeskia maelezo, Hawaki interview kila nchi duniani, wali pick selected emerging economies alafu kama ya hapa kenya amesema wali interview wanabiashara mia moja pekes (hao ni kidogo sana) na sio eti waliwafwata, ni hao wanabiashara ndo walijipeleka wenyewe baada ya invitation kutangazwa....
Hatuwezi kua tumeshinda akina DRC, South Sudan, Angola... Hio itakua haimake sence sababu Hulu kenya kuna ufisadi lakini bado kunamarndeleo na uchumi unakua ...hizo nchi zengine ziko na oil lakini hakuna maendeleo yoyote
 
Unakosea kusema hakuna maendeleo
Ripoti ya mwaka jana
Nigeria walikuwa nafasi mbaya kuliko ninyi
vipi hawana maendeleo!?
Jiulize kama ninyi mmekuwa 6 tena 1-5
Ni nje ya Africa
nchi gani nje ya Africa mnaishinda maendeleo!!
 
Polisi wetu hapa kenya ukitokea Tanzania mpaka wa Namanga,ah,wanakula hela yotote,yani yotote,askari wetu wana njaa kama panya buku
 
Back
Top Bottom