Kenya yapiga marufuku uchimbaji wa Tanzanite, zilikuwa zinauzwa kiharamu Tanzania

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Serikali ya Kenya imepiga marufuku uchimbaji wa madini ya Tanzanite na biashara yake Loita, kamishna wa Narok amesema wachimbaji walikuwa wanachimba bila vibali na wafanyabiashara wasio waaminifu walikuwa wanaziuza kiharamu nchini Tanzania.

xidbgjynabelw57508a5ae72a0.jpg

Narok Governor Samuel Ole Tunai sharing a word with Narok County Commissioner Moffat Kangi during the Madaraka Day Celebrations at Maasai Mara University grounds. Kangi (right) says miners have been operating without licences, while unscrupulous businessmen sell the ornamental minerals to 'black markets' in neighbouring Tanzania.
The Government has banned mining of Tanzanite and its trade in Loita. Narok County Commissioner Moffat Kangi (right) said miners had been operating without licences, while unscrupulous businessmen sell the ornamental minerals to 'black markets' in neighbouring Tanzania. "It has come to our attention that the mining activities behind the Government's back. I hereby order that they stop the mining until they get mining licences from the relevant authorities for the purposes of royalties to the county and national governments," said Mr Kangi.

The commissioner urged the police to arrest any person found mining. Tanzanite Gemstones which are either blue or violet were discovered in Mererani Hills, Manyara in Northern Tanzania in 1967. He called for a crackdown on illicit brews being ferried from neighbouring counties.

"I am instructing the police in Transmara-Kisii road to ensure that there is no transit of the illicit liquor to Nairobi through our roads," said Kangi.

Source: Standard Media

=========
Kuna watu wakiona hii habari watachanganyikiwa, kila siku huwa nasema nchi yetu haina upekee wowote ule kila tulicho nacho wengine pia wanacho tumelishwa propaganda miaka yote kwamba nchi yetu ni tajiri Afrika nzima, haya Kenya nao kumbe wana Tanzanite habari hiyo hapo chini!
Kila nchi ina Rasilimali na siyo nchi yetu tu, tofauti ni jinsi unavyoitumia hiyo Rasilimali kujinufaisha!
 
Haya sasa tulishindwa kutumia nafasi tuliuokuwa nayo. Ona sasa wenzetu watakavyo tumia nafasi kupiga hatua.
 
Kenya wana Tanzanite? How? That ornament mineral, if exists, should be Kenyanite or something else but not Tanzanite. Ni yale yale ya Mlima Kilimanjaro uko Kenya chezeni na hawa jamaa.

Acha kupaniki, Tanzanite ni jina la madini ambayo yanapatikana chini ya ardhi yenye sifa na tabia fulani hivyo madini yoyote yale yenye sifa na tabia kama za tanzanite yataitwa tanzanite na haijalishi yanapatikna wapi, kwa maana ndiyo jina lake lilipopewa na aliyegundua hayo madini ni kama vile Dhahabu, Shaba, Tungsten, Germanium n.k sasa unashngaa Kenya, Pakistani pia kuna madini ya tanzanite na wanachimba na kuuza!
Tofauti hapa ni kwamba ni nani aligundua kwanza kama yangenduliwa kwanza huko Narok na yakaitwa Narok... hata sisi leo hii Mererani tusingeyaita tanzanite bali tungeyaita Narok ni rahisi kihivyo tu!
 
Tanzanite in Kenya, Leo hii?
Haya
 
Mwamba ni uleule umekwenda mpaka Kenya ndiyo maana na wao wamegundua, sema wao watanufaika sana kwa sababu wana akili sana kutuzidi
 
Mbona wewe ni mgumu kuelewa hivyo? Tanzanite ni aina ya madini yaliyoko chini ardhi, huko chini hakuna mipaka ya nchi, miamba haijui Kenya wala TZ hivyo madini yaliyoko TZ yatakosakanaje Kenya wakati tunashea mpaka?
Naona unalazimisha watu wote tuelewe wewe unavyofikiri, bado hujanishawishi kuamini unacholazimisha tuamini
 
Mbona wewe ni mgumu kuelewa hivyo? Tanzanite ni aina ya madini yaliyoko chini ardhi, huko chini hakuna mipaka ya nchi, miamba haijui Kenya wala TZ hivyo madini yaliyoko TZ yatakosakanaje Kenya wakati tunashea mpaka?
Siko kwenye jina. Nielewe.

Kwahiyo kama tuna-share mipaka lazima Tanzanite itapatikana Kenya kwa mujibu wa maelezo yako.

Vipi huko Pakistan uliposema
 
Siko kwenye jina. Nielewe.

Kwahiyo kama tuna-share mipaka lazima Tanzanite itapatikana Kenya kwa mujibu wa maelezo yako.

Vipi huko Pakistan uliposema

Ila uko kwenye nini hauko kwenye jina? Au tatizo lako ni lipi hasa embu fafanua, kama ukipenda!
 
so what is the story really? je ya Tanzania itashuka bei?
Je yetu imeisha?
Is Kenya having Tanzanite mining a big deal? we have Diamonds, Uranium, Coal, NaGAS, Big games, Highest mountain in Africa, Great lakes, Rivers and 50M people,
Then we have poor education, poor health system, poor infrastracture, poor industrial development, high unemployment rate, weak currency.....you name it..... where are we? Where is Kenya? want to complain? go get a grief man.
 
Kenya wana Tanzanite? How? That ornament mineral, if exists, should be Kenyanite or something else but not Tanzanite. Ni yale yale ya Mlima Kilimanjaro uko Kenya chezeni na hawa jamaa.
CC nyang'au
 
Serikali ya Kenya imepiga marufuku uchimbaji wa madini ya Tanzanite na biashara yake Loita, kamishna wa Narok amesema wachimbaji walikuwa wanachimba bila vibali na wafanyabiashara wasio waaminifu walikuwa wanaziuza kiharamu nchini Tanzania.

=========
Kuna watu wakiona hii habari watachanganyikiwa, kila siku huwa nasema nchi yetu haina upekee wowote ule kila tulicho nacho wengine pia wanacho tumelishwa propaganda miaka yote kwamba nchi yetu ni tajiri Afrika nzima, haya Kenya nao kumbe wana Tanzanite habari hiyo hapo chini!
Kila nchi ina Rasilimali na siyo nchi yetu tu, tofauti ni jinsi unavyoitumia hiyo Rasilimali kujinufaisha!
ya kenya inaitwa KENYANITE ya Tanzania inaitwa TANZANITE huoni tofauti; Jiongeze
 
Acha kupaniki, Tanzanite ni jina la madini ambayo yanapatikana chini ya ardhi yenye sifa na tabia fulani hivyo madini yoyote yale yenye sifa na tabia kama za tanzanite yataitwa tanzanite na haijalishi yanapatikna wapi, kwa maana ndiyo jina lake lilipopewa na aliyegundua hayo madini ni kama vile Dhahabu, Shaba, Tungsten, Germanium n.k sasa unashngaa Kenya, Pakistani pia kuna madini ya tanzanite na wanachimba na kuuza!
Tofauti hapa ni kwamba ni nani aligundua kwanza kama yangenduliwa kwanza huko Narok na yakaitwa Narok... hata sisi leo hii Mererani tusingeyaita tanzanite bali tungeyaita Narok ni rahisi kihivyo tu!
Vizuri sana mkuu,
Watu wengi hawana uelewa wa kemia.
Nendanao taratibu.
 
Tanzanite is part of the zoisite mineral species and is only found in East Africa. Discovered in 1967 in the Umba Valley near the Usambara Mts. in Tanzania. Tanzanite may be colourless, yellow-green, brown, or blue to violet when found; the crystals are heat treated to enhance their colour. Colour:Tanzanite is noted for its remarkably strong trichroism, appearing alternately sapphire blue, violet, and sage-green depending on crystal orientation. (Trichroism is the property possessed by certain minerals of exhibiting three different colours when viewed from three different directions under white lights. However, most tanzanite is subjected to artificial heat treatment to improve its colour and this significantly subdues its trichroism.
 
ya kenya inaitwa KENYANITE ya Tanzania inaitwa TANZANITE huoni tofauti; Jiongeze

Kama ungekuwa na akili, basi ulipaswa utetee jina la Tanzanite kutumika popote pale ulimwenguni ambako madini haya ya Tanzanite yamegundilika na ulipaswa upinge madini yenye tabia ya Tanzanite kuitwa Kenyanite au jina lingine lolote lile kwa maana tayari sisi Tanzania tuna hati miliki ya jina ,,Tanzanite" na haijalishi yanapatikana wapi ni lazima yaitwe Tanzanite, kama yakipatikana Chile ni lazima yaitwe Tanzanite hicho ndicho tunachopaswa kupigania!
 
Back
Top Bottom