Jamani watz mko wapi?? Kenya imekuwa ikitumia mlima kilimanjaro kwa manufaa ya nchi hiyo Mfano Kwas sasa wanautanganza Mt kiliamnjaro kupitia DSTV kwenye mashindano ya FIFA CONFEDERATION CUP yaliyoanza Tar 14 June 2009, kwa kutoa tangazo:
Mt kilimanjaro - " MASAI KENYA"
Wizara ya Utalii mpo?? MBONA MMELALA.
ndg Rais JK WAAMSHE HAWA MAWAZIRI wanatuangusha
Wao ni wabunifu na wachacharikaji kwenye biashara hasa hii ya utalii.
Kwa vile mlima huo unaonekana pia Kenya, tunategemea nini wakati tunadengua na kung'ang'ania kodi na ada kubwa?
unajua ni kwa nini kenya wanafanikia sana kwenye sekta ya utalii? na ni kwa juhudi za nani? ni za wananchi wenyewe wako busy kuitangaza nchi yao kila pembe ya dunia.Wao ni wabunifu na wachacharikaji kwenye biashara hasa hii ya utalii.
Kwa vile mlima huo unaonekana pia Kenya, tunategemea nini wakati tunadengua na kung'ang'ania kodi na ada kubwa?
We endelea kumsubiria Waziri wa utalii aitangaze tanzania watati wewe mwenyewe unaweza kuitangaza.hahaha,
hahaha,
ni kweli kenya inanufaika sana na mlima kilimanjaro,na mara nyingi hata ukienda nchi za watu huko wanajua mlima kilimajaro upo kenya sio tz...
tatizo letu sisi wa tz tumekaa mkao wa 10%...waziri wa utalii hadi ale cha juu a.k.a 10% dio utaona anashupalia ishu ya utalii..ukiona yupo kimya ujue kachungulia kaona hamna cha juu,ndo maana haoni haja ya kukomaa na kutangaza mlima huo..
Hivi hayo maoni hapo juu kwamba hatuwezi kuwakataza kutangaza mlima wetu ni ya watz kweli au? I cant believe it! Kwa mawazo Ndio maana hawa jamaa wanapeta bila wasiwasi wowote. Nasikia hata mbuga ya Serengeti wanadai iko kwao. What stupid Kenyans! Huu si ubunifu ni utapeli! Ukisikia jirani yako anadai mke wako ndiye mkewe utajisikiaje? Au ndio notion kwamba mali ya umma haina uchungu?
Na wanachotangaza wao sio mlima upo kwao wanachosema njoo Kenya uone Kilimanjaro
Na wanachotangaza wao sio mlima upo kwao wanachosema njoo Kenya uone Kilimanjaro