Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 15,505
- 27,501
Sijui ilikuwaje hii sayansi na siasa ya tiba.Zamani walikuwa wanasema "Aids", hata kumuangalia mgonjwa unaogopa anavotisha, ndo maana walikuwa wanawaficha ndani aisee huu ugonjwa huu.
Wakaanza kuliacha jina la AIDS na kutumia HIV.
Zamani utasikia ana AIDS au anaugua AIDS mara ikaja amekutwa na HIV.