Kenya won't lose Agoa status, but its EAC partners may be thrown out

Kwakuendekeza upuuzi kamahu ndo maana ata T-shirt Jubilee walienda kutengenezea China.
downloadfile-2.png
 
Tatizo ni kwamba ilikuwa hautusaidi sana, AGOA imasaidia zaidi Chinese, Indians, Vietnamese Pakistan, Lebanese who have rushed to size an opportunity to sale their products on US market duty free. Obama alivyokuja Tanzania 2013 he wanted to cancel project AGOA, reason being there was very little evidence that the scheme was benefitting people in low income scale. Hata huko Kenya, 400 billion dollars inapita tu na kwenda kwa Chinese, Bangladesh, Vietnamese etc, Kenya is not producing enough yarn, enough dye, enough polyester, enough buttons. Vyote hivyo vinakuwa imported na ndio hapo pesa inapoondoka Africa na kwenda kusaidia other industries elsewhere.

Tanzania tuliliona hilo na ndio Maana hatujalikimbilia hilo swala sana.

So, are u saying that Kenya imports all the raw materials from Asia worth nearly 400m$, and that it does not produce even "buttons", of all the things?

Hahaha, Kenya iko na very vibrant chemicals industry, dye tushindwe kutengeza namna gani?

f81bfb21b41efda6b414943dfad9107e.jpg
 
We do not look at the American market kabla atujaangalis soko. Kwa taarifa yako tuna viwanda vipya 12 vinajengwa Tanzania. Naviwanda viwili vya Pwani na Mwanza ndo vitakuwa viwanda vikubwa East and Central Africa vya kutengeneza nguo.Nabado tuna viwanda vya kisasa vyakutengeneza nguo nasio magaguro.
RG1A9964-1.jpeg
IMGS0520.jpeg
Waziri-Mkuu-Kassim-Majaliwa-1.jpg
Kenya haiuzii America pamba, bali manguo yallokamolika kabisa, kwa dola karibia $400m!

Tz, Rw, Bu, mauzo yao kujumulishwa.....ati $45m.

Tanzania ya Viwonder, kumbe kelele nyingi humu ati mtawafikia wakenya awamu hii, na kumbe mnexport bidhaa ya nguo US kwa $10m tu?

Attachments

  • IMGS0504.jpeg
    IMGS0504.jpeg
    138.2 KB · Views: 28
  • IMGS0538.jpeg
    IMGS0538.jpeg
    34 KB · Views: 41
Sisi ndotuliwavalisha siku mnàzindua SGR. Yani unachofanya unajitekenya alafu unacheka
98cd99aaac83ae6cd559f0287c813424.jpg
cf960460d00b979518676922f175b217.jpg
cf960460d00b979518676922f175b217.jpg
f53ed9f85ceb77d87e2edb50b8dbc04e.jpg
So, are u saying that Kenya imports all the raw materials from Asia worth nearly 400m$, and that it does not produce even "buttons", of all the things?

Hahaha, Kenya iko na very vibrant chemicals industry, dye tushindwe kutengeza namna gani?

f81bfb21b41efda6b414943dfad9107e.jpg
 
So, are u saying that Kenya imports all the raw materials from Asia worth nearly 400m$, and that it does not produce even "buttons", of all the things?

Hahaha, Kenya iko na very vibrant chemicals industry, dye tushindwe kutengeza namna gani?

f81bfb21b41efda6b414943dfad9107e.jpg
Vibrant industry wakati jubilee anaenda print t shirt zao za kampeni uchina.
Unachekelea aibu
 
Endeleeni kuvaa chupi za wazungu waliofariki. Sisi hizo sio size yetu. Sisi tunamatajiri kama akina Dewji wanaviwanda vya nguo Uko Marekani nani Mtanzania. Nauku anakiwanda cha nguo Musoma. Yeye sio mjinga kuweka kiwanda changuo uko Marekani. Sisi tunasonga mbele
IMGS0504.jpeg
IMGS0538.jpeg
So, are u saying that Kenya imports all the raw materials from Asia worth nearly 400m$, and that it does not produce even "buttons", of all the things?

Hahaha, Kenya iko na very vibrant chemicals industry, dye tushindwe kutengeza namna gani?

f81bfb21b41efda6b414943dfad9107e.jpg
 
Kenya haiuzii America pamba, bali manguo yallokamolika kabisa, kwa dola karibia $400m!

Tz, Rw, Bu, mauzo yao kujumulishwa.....ati $45m.

Tanzania ya Viwonder, kumbe kelele nyingi humu ati mtawafikia wakenya awamu hii, na kumbe mnexport bidhaa ya nguo US kwa $10m tu?

/
Hapo kwenye bold umeniuaa, mulisaaa hivi hivyo viwonder ni yapi? Utaua kitu yenye haipo?
 
Kum
Pale ni ju ya cost si coz tshirt haziezi kuwa printed huku....akili iko empty
Eti cost!! The truth nikwamba hamna technology ya mass production alafu mnatetea AGOA. Wachina pamba wanaichukua Africa and then your defending your self through cost. Kubali Hamna viwanda vya kutosha vya nguo. Nahi utasema mini??
 
[
Hiyo tshirt moja tu ndio mnaonyesha, wapi zingine? Ni kampuni gani hiyo Tanzamia ilipewa hiyo tenda kusupply Tshirts katika uzinduzi wa sgr?
Mtalia sana nakutoa povu sana.

QUOTE="mulisaaa, post: 21775814, member: 439084"]Kum
Eti cost!! The truth nikwamba hamna technology ya mass production alafu mnatetea AGOA. Wachina pamba wanaichukua Africa and then your defending your self through cost. Kubali Hamna viwanda vya kutosha vya nguo. Nahi utasema mini??[/QUOTE]
 
Mimi huwa na sema linapokuja kwenye swala la biashara Africa Mashariki akuna nchi yenye unafiki kama Kenya. Kwa sasa Kenya wanatoza bidhaa kodi kubwa zinazotengenezwa Tanzania kwenda Kenya. Lakini nimefurahisha na serikali ya Magufuri na wao wamedai wanaanza kutoza kodi kubwa mwenye bidhaa za Kenya zinazo kuja Tanzania. Ukweli nikwamba Tanzania inauza zaidi Kenya kuliko wao wanavyouza uku Tanzania.
 
Back
Top Bottom