Kenya Wins CECAFA Senior Challenge Cup

I

ivibration

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2013
Messages
363
Likes
2
Points
35
Age
29
I

ivibration

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2013
363 2 35
Harambee Stars are this year’s GOtv Cecafa Senior Challenge champions.

Allan Wanga scored twice to propel the national team into victory on a day that Kenya celebrated her 50 years of independence.

Huge expectations had weighed on the shoulders of the Adel Amrouche coached side who confounded the pessimists to sail to the final, their second in as many year after edging out a stubborn Tanzanian side 1-0 in a closely contested semis on Tuesday evening.

Amrouche, 45, had maintained that his key focus was to hand Kenya a perfect 50th birthday present by winning the title.

For that to become a reality Kenya maintained the same tactical discipline they exhibited against Kilimanjaro Stars in wet and difficult conditions to hold onto a slim 1-0 lead for 85 minutes.
 
mpingauonevu

mpingauonevu

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Messages
618
Likes
87
Points
45
Age
35
mpingauonevu

mpingauonevu

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2012
618 87 45
Harambee Stars are this year's GOtv Cecafa Senior Challenge champions.

Allan Wanga scored twice to propel the national team into victory on a day that Kenya celebrated her 50 years of independence.

Huge expectations had weighed on the shoulders of the Adel Amrouche coached side who confounded the pessimists to sail to the final, their second in as many year after edging out a stubborn Tanzanian side 1-0 in a closely contested semis on Tuesday evening.

Amrouche, 45, had maintained that his key focus was to hand Kenya a perfect 50th birthday present by winning the title.

For that to become a reality Kenya maintained the same tactical discipline they exhibited against Kilimanjaro Stars in wet and difficult conditions to hold onto a slim 1-0 lead for 85 minutes.
hakuna cha kushangaza.
1. CECAFA imekuwa ni desturi lazima mwenyeji achukue kombe ama afike fainali.
2. Semi final ilitaliwa kuwa Mombasa lakini ili kenya ipite ikahamishwa ili Tanzania isiwe favoured na joto la mombasa.
3. Tanzania (kwenye semifinal) hawakuwa na mpango wa kufunga. (2nd half ilipoonekana short passes zinaweza leta madhara kwa kenya out of nowhere Tanzania wakaanza kupiga mipira kijinga ili wasifunge)
4. Ingekuwa ni vibaya kama sherehe zingefanyika leo bila wenyeji kucheza final
5. CECAFA NI MFANO MWNGINE BORA WA LAANA ZA KIJINGA ZA NGOZI NYEUSI
 
I

ivibration

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2013
Messages
363
Likes
2
Points
35
Age
29
I

ivibration

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2013
363 2 35
hakuna cha kushangaza.
1. CECAFA imekuwa ni desturi lazima mwenyeji achukue kombe ama afike fainali.
2. Semi final ilitaliwa kuwa Mombasa lakini ili kenya ipite ikahamishwa ili Tanzania isiwe favoured na joto la mombasa.
3. Tanzania (kwenye semifinal) hawakuwa na mpango wa kufunga. (2nd half ilipoonekana short passes zinaweza leta madhara kwa kenya out of nowhere Tanzania wakaanza kupiga mipira kijinga ili wasifunge)
4. Ingekuwa ni vibaya kama sherehe zingefanyika leo bila wenyeji kucheza final
5. CECAFA NI MFANO MWNGINE BORA WA LAANA ZA KIJINGA ZA NGOZI NYEUSI
Hiyo kikombe tumeshinda si ya chai ama maji. Just a little reminder
 
DE_GUZMANN

DE_GUZMANN

Member
Joined
Dec 1, 2013
Messages
54
Likes
0
Points
0
DE_GUZMANN

DE_GUZMANN

Member
Joined Dec 1, 2013
54 0 0
I was on the special thread on Gotv cecafa 2013 and tz lads are really hating.nway kudos harambee stars,we should now build on this and aim for Morocco 2015.
 
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2011
Messages
27,734
Likes
2,009
Points
280
ndetichia

ndetichia

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2011
27,734 2,009 280
hpngereni harambee kwa kuchukua cecafa zamu yenu..
 
Lucky One

Lucky One

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2013
Messages
658
Likes
334
Points
80
Lucky One

Lucky One

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2013
658 334 80
asiyekubali kushindwa,si mshindani....
hongereni kenya
 
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
1,374
Likes
17
Points
0
Age
25
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
1,374 17 0
Waende na kombe lao
Marufuku tena kucheza nao mpira m b aaaaaafuuu
 
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2010
Messages
7,255
Likes
341
Points
180
Lokissa

Lokissa

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2010
7,255 341 180
tumeshalishinda sana
hao tumewaachia wasahau machungu ya westagete
 
Dhuks

Dhuks

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Messages
1,577
Likes
428
Points
180
Dhuks

Dhuks

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2012
1,577 428 180
hakuna cha kushangaza.
1. CECAFA imekuwa ni desturi lazima mwenyeji achukue kombe ama afike fainali.
2. Semi final ilitaliwa kuwa Mombasa lakini ili kenya ipite ikahamishwa ili Tanzania isiwe favoured na joto la mombasa.
3. Tanzania (kwenye semifinal) hawakuwa na mpango wa kufunga. (2nd half ilipoonekana short passes zinaweza leta madhara kwa kenya out of nowhere Tanzania wakaanza kupiga mipira kijinga ili wasifunge)
4. Ingekuwa ni vibaya kama sherehe zingefanyika leo bila wenyeji kucheza final
5. CECAFA NI MFANO MWNGINE BORA WA LAANA ZA KIJINGA ZA NGOZI NYEUSI
The semis were not slated for mombasa at any one time
 
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Messages
12,573
Likes
10,947
Points
280
MK254

MK254

JF-Expert Member
Joined May 11, 2013
12,573 10,947 280
hakuna cha kushangaza.
1. CECAFA imekuwa ni desturi lazima mwenyeji achukue kombe ama afike fainali.
2. Semi final ilitaliwa kuwa Mombasa lakini ili kenya ipite ikahamishwa ili Tanzania isiwe favoured na joto la mombasa.
3. Tanzania (kwenye semifinal) hawakuwa na mpango wa kufunga. (2nd half ilipoonekana short passes zinaweza leta madhara kwa kenya out of nowhere Tanzania wakaanza kupiga mipira kijinga ili wasifunge)
4. Ingekuwa ni vibaya kama sherehe zingefanyika leo bila wenyeji kucheza final
5. CECAFA NI MFANO MWNGINE BORA WA LAANA ZA KIJINGA ZA NGOZI NYEUSI
Hivi unamaanisha hata mechi kati yenyu na Zambia jana Tanzania ilibidi wapoteze muda wao wa dakika tisini ili washinwde tu. Kubali umeshindwa na huna lolote jipya.
 
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Messages
37,147
Likes
5,620
Points
280
Heaven on Earth

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2013
37,147 5,620 280
Hivi unamaanisha hata mechi kati yenyu na Zambia jana Tanzania ilibidi wapoteze muda wao wa dakika tisini ili washinwde tu. Kubali umeshindwa na huna lolote jipya.
kanichekesha pia........dakika 90 unapiga mipira kijinga ili usishinde

kama ni kweli baso wonders shall never cease
 
appoh

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Messages
4,965
Likes
897
Points
280
appoh

appoh

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2013
4,965 897 280
kama unajua unajua tu hata ufanyiwe nini refer... Zambia na misri ya kina phiri enzi hizo
 
Forum statistics

Threads 1,264,306
Members 486,273
Posts 30,180,044