Kenya: Watu 11 watoboa ukuta na kutoroka selo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,079
10,034
Polisi wa Bungoma Kenya, wanawatafuta wahalifu 11 ambao wametoboa ukuta na kutoroka selo iliyokuwa Kituo Kikuu cha Polisi cha Bungoma

Polisi wamesema mmoja wao wamemkamata baada ya kumpiga risasi ya paja walipokuwa wakikimbia, ambaye sasa yupo hospitali akiendelea na matibabu

Wiki mbili zilizopita pia tukio la kutoroka liliwahi kufanywa na watu wanne katika selo ya Karuri ambao walikata dirisha

Kamanda wa Polisi ameomba ushirikiano wa wananchi ili kuweza kuwapata wahalifu hao waliotoroka

====

Police in Bungoma have launched a man hunt for 11 hardcore criminals who escaped from Bungoma central police station .
The group escaped after digging an underground tunnel before escaping on Saturday night.

Bungoma south OCPD Willison Nanga told the star that one of them was arrested after being shot on the thigh has he tried to escape.

A hole that the escapees dug to aid in escaping./JOHN NALIANYA

Those who escaped included; Brian Onyango charged with Roberry with violence , John Wanyonyi ( Robbery with violence) , Clerkson Otieno (Burglary remandee) and Simon Wekesa (assault).

Collins Nyukuri , Alex Muyekho, Bramwel Barasa ,Pascal Namasaka , Emmanuel Wakoko , John Wekesa and Isaac Wekesa .
Nanga said the escapees were seen running towards a nearby bush at an Airstrip area .

“We are calling upon the residents to volunteer any information to the police because this are hard core criminal ," he said .
The shot victim -Isaac Wekesa, was taken to Bungoma Referral Hospital.

The police boss warned against harbouring any fugitive.

Two weeks ago, six suspects also escaped from Karuri police cells after a cutting part of the windows .

The six include five remandees and a convict.

A search for the escapees led by the Sub County Police Commander and other personnel is currently underway.
 
images.jpeg-1.jpg
 
Actually it was not a prison break, ni inside job. Hao wafungwa walipata wapi vifaa vya kutindua ukuta? Na walipiga vipi nyundo bila kusikika hadi wakatoka nje?

Kuna mfanyabiashara aliibiwa pesa ndefu sana hapo Kenya, hao wezi ndio wakawekwa ndani. Katika upelelezi kumbe walishirikiana na Polisi na polisi wamechukua hiyo pesa iliyoibiwa. So polisi imebidi wawatoroshe kwa ku stage prison break ili kukwamisha upelelezi. Man eat man society.

RIP Gacheche..
 
hongera sn wana jf wenzetu kwa kusepa seloo! ila najua mtaanza post humu, tulienii mazeee dah!

FB_IMG_1597759734158.jpg
 
Prison Break season 6 imeanza naona
Polisi wa Bungoma Kenya, wanawatafuta wahalifu 11 ambao wametoboa ukuta na kutoroka selo iliyokuwa Kituo Kikuu cha Polisi cha Bungoma

Polisi wamesema mmoja wao wamemkamata baada ya kumpiga risasi ya paja walipokuwa wakikimbia, ambaye sasa yupo hospitali akiendelea na matibabu

Wiki mbili zilizopita pia tukio la kutoroka liliwahi kufanywa na watu wanne katika selo ya Karuri ambao walikata dirisha

Kamanda wa Polisi ameomba ushirikiano wa wananchi ili kuweza kuwapata wahalifu hao waliotoroka

====

Police in Bungoma have launched a man hunt for 11 hardcore criminals who escaped from Bungoma central police station .
The group escaped after digging an underground tunnel before escaping on Saturday night.

Bungoma south OCPD Willison Nanga told the star that one of them was arrested after being shot on the thigh has he tried to escape.
A hole that the escapees dug to aid in escaping./JOHN NALIANYA
A hole that the escapees dug to aid in escaping./JOHN NALIANYA​

Those who escaped included; Brian Onyango charged with Roberry with violence , John Wanyonyi ( Robbery with violence) , Clerkson Otieno (Burglary remandee) and Simon Wekesa (assault).

Collins Nyukuri , Alex Muyekho, Bramwel Barasa ,Pascal Namasaka , Emmanuel Wakoko , John Wekesa and Isaac Wekesa .
Nanga said the escapees were seen running towards a nearby bush at an Airstrip area .

“We are calling upon the residents to volunteer any information to the police because this are hard core criminal ," he said .
The shot victim -Isaac Wekesa, was taken to Bungoma Referral Hospital.

The police boss warned against harbouring any fugitive.

Two weeks ago, six suspects also escaped from Karuri police cells after a cutting part of the windows .

The six include five remandees and a convict.

A search for the escapees led by the Sub County Police Commander and other personnel is currently underway.
 
Safi sana comrades. Wakulaumiwa ni aliyewaachia huu ujumbe kuntu kwenye ukuta wa selo. Never give up!
images
 
Back
Top Bottom