Kenya: Wanaume wavishana pete ya uchumba

Hii hapana bora wizi wa 1.5 Trillion
Ndio akili zako hizo hazina tofauti na hao akina magu.

Wewe kwako ubadhirifu wa fedha ambazo zingeokoa na kuinua maisha ya watanzania wanaokunywa tope unaona si lolote na ni bora kuliko privacy za watu wawili walioamua kwa hiari yao kupendana bila kuathiri mtu mwingine??
 
Ni haki yao kabisa!
Kwanza ni watu wazima,
Pili hawajalazimishwa na yeyote,
Tatu ni kwamba hawaingilii uhuru wa mwingine.
Hakuna dhambi ndogo hata wewe ni shahidi.
Jambazi anatenda dhambi ya wizi kitu ambacho kinaacha makovu dhidi ya aliyeibiwa!
Hawa wao wanafanya mapenzi ya jinsia moja kitu ambacho hakimdhuru mwingine.

Kwanini sasa mlaumu watu ambao hawana affect yoyote kwenu ilihali kuna mengi yanayoidhuru jamii?

JARIBU KUHESHIMU UHURU WA MWENZAKO IKIWA UHURU HUO HAUNA AFFECT KWAKO.

mwili hajatumia wakwako!
hajaingilia uhuru wako!
hajakuharibia chochote!
Kwanini basi ikuume?

Uhuru wa mtu ikiwa haukudhuru usijaribu kuuingilia.
Afadhali wewe una akili timamu!!
 
Kuona picha namna hiyo unaweza usipatwe na mshangao, the real mshangao ni pale utakapoanza kuifikirisha akili yako kwamba nini hasa hawa jamaa wanafanya wawapo faragha...

...it's so disgusting!!
How disgusting?????

Wao hawaumii kabisa, lakini wewe ndio unaumia na kukereka kwa niaba yao!!


:D :D
 
Kenya ni nchi ya kipato cha kati
Ni kweli, Kenya inapaa kiuchumi kwa sababu inashughulika na mambo makubwa na yenye tija.

Tofauti na nchi zenu za kijima ambapo hata mtu akijamba linageuka kuwa swala la kitaifa.

Tizama nchi zinazohangaika na kukimbizana na mambo madogo madogo kisha zilinganishe na nchi kama Kenya, South Africa na first world countries.

Ninyi huku makapuku, hata kubusu mtu ni swala linalohitaji kujadiliwa na bunge.
 
Back
Top Bottom