Kenya waliiga architectural features za Tanzania parliament

REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,925
14,880
HHHHH.jpg
Yeah of course parliament is the powerful pillar kama nyenzo muhimu ya representative democracy, Tanzania ndio nchi ya kwanza katika region kuwa na ukumbi wa bunge wa kisasa zaidi
tz4.jpg


Na ni kati ya kumbi chache za bunge Africa zilizo katika technology ya kisasa,
DBzfHy9XsAAJZpe.jpg

Kenya walipanua ukumbi wao wa bunge baada ya katiba mpya 2010 baada ya kuongeza viti vingi vya wawakilishi jambo lililopelekea ukumbi wa zamani kushindwa kuendelea na jukumu lake la awali,
download.jpg


Walijenga ukumbi ukakanilika miaka ya juzi juzi (Kwa mamilioni ya dollar kama kawaida yao kapigwa refer SGR) tu lakini ukijaribu kuangalia utajua kuna baadhi ya features zinafanana na ukumbi wa Tanzania kama mpangilio wa rangi za bendera kwenye floor, taa za kwenye floors, sitting plan, design ya viti na rangi zake na mengine mengi.
Kenyan-parliament-600x300.jpg


Japo bado ukumbi wa Dodoma unasalia kuwa the best in the region.
 
Mambo mengine hayana tija kushindanisha.Wananchi wawe na maisha mazuri ilo ndo la muhimu.Kwani watu wanakula ayo mabunge.
 
View attachment 578908 Yeah of course parliament is the powerful pillar kama nyenzo muhimu ya representative democracy, Tanzania ndio nchi ya kwanza katika region kuwa na ukumbi wa bunge wa kisasa zaidi View attachment 578898

Na ni kati ya kumbi chache za bunge Africa zilizo katika technology ya kisasa, View attachment 578899
Kenya walipanua ukumbi wao wa bunge baada ya katiba mpya 2010 baada ya kuongeza viti vingi vya wawakilishi jambo lililopelekea ukumbi wa zamani kushindwa kuendelea na jukumu lake la awali, View attachment 578901

Walijenga ukumbi ukakanilika miaka ya juzi juzi (Kwa mamilioni ya dollar kama kawaida yao kapigwa refer SGR) tu lakini ukijaribu kuangalia utajua kuna baadhi ya features zinafanana na ukumbi wa Tanzania kama mpangilio wa rangi za bendera kwenye floor, taa za kwenye floors, sitting plan, design ya viti na rangi zake na mengine mengi. View attachment 578900

Japo bado ukumbi wa Dodoma unasalia kuwa the best in the region.
Saa zingine fanyanga utafiti kwanza usijejiaibisha bure
 
Back
Top Bottom