Kenya wagundua mafuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya wagundua mafuta

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Kifimbo Cheza, Mar 26, 2012.

 1. Kifimbo Cheza

  Kifimbo Cheza JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Sasa wenzetu watapaa, sisi TZ tumewazidi kwa rasilimali lakini walikuwa wapo juu kiuchumi sasa wamepata mafuta itakuwaje? Tujadili wanaJF.
   
 2. c

  collezione JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Kama ni kweli. That is good news for them.

  Hayo mafuta yatawafaidisha kama watatokomeza rushwa na ufisadi. Wakijitahidi hayo mambo mawili. Ninawapa miaka 3 tuu, kenya itakuwa zaidi ya South Africa.

  Mkuu usilinganishe na Tanzania kabisaaa. Kama waziri wa madini ni "Malima mhuni" unategemea nini? Afu raisi wetu checkbob. Kila siku anaruka angani kama tiara.

  Ebu niambie familia yenu inaongozwa na baba check-bob, what do you expect. Baba yeye kila siku yuko na washikaji tu, kwake hatulii. Baba ambaye hana ubunifu wa kujitengenezea kipato. Yeye anategemea misaada kutoka kwa "masela" hahhaa
   
 3. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,723
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  mkuu umeponda sana. Ngoja tiss wakamate ip adress yako utawaeleza.
   
 4. Kifimbo Cheza

  Kifimbo Cheza JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Ni huko TURKANA, Northen KENYA.
   
 5. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Naanzisha NGO ya kuhifadhi mazingira ili niwaburute mahakamani, hatuwezi kuruhusu uchimbaji wa mafuta katika eneo oevu. Lol!
   
 6. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  IP address??

  Watu wanaingia na kuvinjari Web site za Pentagon FBI na CIA kama wanaria!!
  Internet siyo siri wengine hapa tunaficha majina yetu halisi kwa kuogopa Baba na wajomba zetu wasizimie kwa ukali wa hoja zetu.   
Loading...