Wengi wa wanachama wao ukiondoa jamaa aitwae Kabaridi hawana-nia thabit ya kuendeleza hii sub-forum ya Kenya. Hapa na sasa tuna-validate kuwa wengi wao walikuwa kule International forum kwa ajili ya kukashifu wabongo na Tanzania kwa ujumla.:sick:
wengi wa wanachama wao ukiondoa jamaa aitwae kabaridi hawana-nia thabit ya kuendeleza hii sub-forum ya kenya. Hapa na sasa tuna-validate kuwa wengi wao walikuwa kule international forum kwa ajili ya kukashifu wabongo na tanzania kwa ujumla.:sick:
nakubaliana na wewe kuwa wengi wapo kwenye international forum kwa ajili ya kukashifu tanzania tu
ukitaka wajitokeze huku waambie tanzania itawaruhusu wamiliki ardhi uone!!!