Kenya, Uganda and Rwanda agree on Joint Tourism

They have agreed to market tourism together as shown in the link above, they are also looking forward to a joint visa agreement on tourism. This is basically indicating how Tanzania is alienating itself from The East Africa Community
 
Hahahaha mnajiribu kujitenga lakini hamuez kwan utalii Wa Kenya unategemea Tanzania kwa zaidi ya 40%
Hao Uganda na Rwanda hawana impact yoyote kwenye utalii wa kenya so naona kama mnajitekenya na kucheka wenyewe anyway all the best majiran mfanikiwe.
Ila wakija wapeni habari kua the Top most land is from Tanzania and the oldest human being fossil was found in Tanzania
 
Asante. Tunajua Tanzania mna kila kitu mmekosa tu binadamu.
 
They have agreed to market tourism together as shown in the link above, they are also looking forward to a joint visa agreement on tourism. This is basically indicating how Tanzania is alienating itself from The East Africa Community

Alienating ourselves from what? From this marriage of inconvenience? Our tourism policy is different, we attract different tourists, goals are miles apart. We cant join something which will lead us into lose money.
 
Very bad idea.
Kenya should not fall again to the machinations of its neighbours. While Kenya is generous and open hearted, the same cannot be said of her sweet neighbours.
 
huu muungano hauna miaka 5 kabla ya kuvunjika, kenya ameingia kichwa kichwa kwa ug na rw
 
They have agreed to market tourism together as shown in the link above, they are also looking forward to a joint visa agreement on tourism. This is basically indicating how Tanzania is alienating itself from The East Africa Community
Tz will give you sleepless nights forever, vipi unatag Tz wakati habari inahusu ug, ke, rw,

Intact our tourism Market is a way far than ke, ug, rw, combined,.(Kenya Know this )
Lately 2017 JNIA will be full operational, and by 2020 ATCL will link direct flights to London, New York city and Hong Kong, (we've already ordered 3aircrafts on hard cash)
This is how we will triple the Numbers.
Please, next time come with matured ideas. Do not cluck like chickens.
 
Hahahaha mnajiribu kujitenga lakini hamuez kwan utalii Wa Kenya unategemea Tanzania kwa zaidi ya 40%
Hao Uganda na Rwanda hawana impact yoyote kwenye utalii wa kenya so naona kama mnajitekenya na kucheka wenyewe anyway all the best majiran mfanikiwe.
Ila wakija wapeni habari kua the Top most land is from Tanzania and the oldest human being fossil was found in Tanzania
Where ever you got that info from you must have been hanging upside down cause its the other way around, 40% of Tanzanian tourists come through Kenya
 
As I said, By 2020 you will never see them Again. Jiandaeni kisaikolojia.
 
After all Wakenya wajanja wajanja mtaenjoy kwavfruits za tourist attractions zetu. Hatutatski hii marriage ya kuloose.
 
Hahahaha mnajiribu kujitenga lakini hamuez kwan utalii Wa Kenya unategemea Tanzania kwa zaidi ya 40%
Hao Uganda na Rwanda hawana impact yoyote kwenye utalii wa kenya so naona kama mnajitekenya na kucheka wenyewe anyway all the best majiran mfanikiwe.
Ila wakija wapeni habari kua the Top most land is from Tanzania and the oldest human being fossil was found in Tanzania

Kha.. Hivi huna habari, sisi tunapiga hela kote kote, hivyo vivutio vyenu tena tunavitangaza ila wanapitia Kenya tunawanyofoa visenti halafu tunawaachia wavuke mpaka kuja huko. Ukifata Wakenya utachana msamba, yaani ukanda wote huu lazima tuhodhi kila kitu tena tutawapiga vikumbo.

Juzi nimeona mumefanya ikawa habari za kitaifa na kilio nchi yote kisa kampuni ya mbolea ya Tanzania imetumia anuani ya Kenya. Hehehehe!!! hapana leeeeta micheso, sisi iko mitu hatari...
Hadi raha aisei.
 
As I said, By 2020 you will never see them Again. Jiandaeni kisaikolojia.

Kwa news highlights kama hizi hapa chini sioni hilo maana mna mengi ya kukimbizana nayo kabla ya kuiwaza Kenya. Kwanza malizeni kuwakomesha wapinzani

img-20170221-wa0000-jpg.472608
 
Kha.. Hivi huna habari, sisi tunapiga hela kote kote, hivyo vivutio vyenu tena tunavitangaza ila wanapitia Kenya tunawanyofoa visenti halafu tunawaachia wavuke mpaka kuja huko. Ukifata Wakenya utachana msamba, yaani ukanda wote huu lazima tuhodhi kila kitu tena tutawapiga vikumbo.

Juzi nimeona mumefanya ikawa habari za kitaifa na kilio nchi yote kisa kampuni ya mbolea ya Tanzania imetumia anuani ya Kenya. Hehehehe!!! hapana leeeeta micheso, sisi iko mitu hatari...
Hadi raha aisei.
Nyinyi ni hatari kama al shabab
 
As I said, By 2020 you will never see them Again. Jiandaeni kisaikolojia.

Nyinyi Tanzania mbona mko hivi jamani!! Aaah!! Mnazidi maudhi, hivi Raisi Kikwete alivyokubali kwamba Tanzania iwe kwenye EAC alikuwa na wazimu, mipangoo ikishaiva, mnaanza kuvuruga. Iwe nyinyi mko hivyo??? Hamweze kamilisha deal, na mnakuja hapa bila aibu, kujisifia vile Tanzania ni bora!!! Aah! Mnaudhi kweli
 
Kikwete hajawahi kukubali Tz kuwa EAC, unaongea kama mtoto wa darasa la tatu, go back to your history class,
 
Back
Top Bottom