Kenya tutapiga mnada mali za wabunge na vigogo serikalini wasiolipa kodi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya tutapiga mnada mali za wabunge na vigogo serikalini wasiolipa kodi

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Pdidy, Jun 24, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,613
  Likes Received: 5,782
  Trophy Points: 280
  Mamlaka ya ushuru kenya kra imeapakufa na kigogo yoyote asielipakodi ..kra iliagiza wabunge wote walipe kodi pamoja na maofisa wa juu kulingana na katiba ya nchi hata hivyo wabunge wamepinga sheria hiyo wakidai ni kuzalilishwa...kra imewatumia barua wabunge wote waliolimbikiza walipe kodi zao ifikapo august 30 kila mbunge anatakiwa kulipa kodi ya kenya doller 10,000 atoe kwenye mshahara wake..takwimu zinaonyesha wabunge wako kwenye rank ya wanaolipwa mishahara ya juu nchini kenya..waziri wa maji ambae ni mbunge wa kitui charity ngilu amesema pesa hizo ni ngumu kutoa..tulipoingia bungeni tulielezwa katika kipindi cha miaka mitano pesa za kulipa...sasa kuja sasa nakutuambia hizi biashara zao wasahau akuana mwenye uwezo wa kulipa

  mwakajana wabunge waliongezewa mishahara yao hadi doller 126,000 uamuzi huo ulikemewa na wengi ukiangalia wanaishi chini ya doller m oja

  kazi kweli kweli
   
Loading...