KENYA TUnawakilishi tuu!!!

waltham

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,523
2,000
Miss Kenya 2016 DECLARED MISS AFRICA
PH bet finishes in top 5 of Miss World 2016
ABS-CBN News

Posted at Dec 19 2016 07:20 AM | Updated as of Dec 19 2016 07:55 AM


Miss Puerto Rico Stephanie Del Valle (C) reacts to being named Miss World as Miss Philippines Catriona Elisa Gray (L) and Miss Kenya Evelyn Njambi Thungu watch during in the Miss World 2016 Competition in Oxen Hill, Maryland, U.S., December 19, 2016. Joshua Roberts, Reuters


Miss world and Miss Africa pose togetherCongratulations to Miss Kiambu Evelyn Njambi Thungu for having been crowned Miss Africa and ranking top five in the Miss World competitions held in Washington DC USA.

Evelyn was accompanied by Kiambu County first lady H.E Philomena Kabogo and the department of Education, ICT, Culture and Social Services that has supported her all through.Accompanied by Kenyan delagation including county govt of kiambu officials!!!


MISS africa -miss kenya 2016
 

Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
5,669
2,000
Huyu Dada wa pembeni kutoka Kenya akustahiri kufika katika top ten
 

Tim Choice

JF-Expert Member
Sep 28, 2013
1,888
2,000
Huyu Dada wa pembeni kutoka Kenya akustahiri kufika katika top ten
Mnafikiri wazungu hawakijui kilicho asili?....wengi wenyu humo tanganyika mnajichubua, meaning you are fake.
Kinachoangaliwa ni UASILIA WA MTU, UKUBWA WA AKILI...BONGO...BONGO..BONGO....
Hata nikimtazama dada huyu urefu na mpangilio wa mifupa (body frame)upo imara, wengi wenyu wabongo wafupi mithili ya MBILIKIMO WA KONGO, mikorogo,kujichubua,kichwani kweupe,wapi na wapi?
Kumbuka yule dada wa kinijeria aliyeshinda miss world zama zile...(AGBANI DAREGO)..tena alikua mweusi kama chokoleti vile, rangi tamu na adimu inayoashiria UAFRIKA.
Hongera zake dada wa kikenya, umeiwakilisha Afrika ulipofika hapo.
 

Depay

JF-Expert Member
Jun 22, 2015
6,595
2,000
Kwa akili zenu na matarumbeta yenu mnadhani sie hatukufika huko? Tena wetu alipata kabisa Continental Queen of Africa makatuni yenu hayana madhara
Tehehehee.... Kwisha nyie Kumbe you are this ugly... You didn't even make the Top 20
 

Depay

JF-Expert Member
Jun 22, 2015
6,595
2,000
Mnajuana kwani nani asiejua huu ukanda wanaongoza akina nani kwa sura za kina faru john
Ukweli sasa umebainishwa.... Don't believe what the newspapers write. You saw it yourself. That's the best you did, hata he-goat angewakilisha nyinyi
 

mama chupaki

JF-Expert Member
Aug 23, 2015
906
1,000
Mnafikiri wazungu hawajui kilicho asili?....wengi wenyu humo tanganyika mnajichubua, meaning you are fake.
Kinachoangaliwa ni UASILIA WA MTU, UKUBWA WA AKILI...BONGO...BONGO..BONGO....
Hata nikimtazama dada huyu urefu na mpangilio wa mifupa (body frame)upo imara, wengi wenyu wabongo wafupi kama MBILIKIMO WA KONGO, mikorogo,kujichubua,kichwani kweupe,wapi na wapi?
Kumbuka yule dada wa kinijeria aliyeshinda miss world zma zile...(AGBANI DAREGO)..tena alikua mweusi kama cchokoleti, rangi tamu na dimu inayoashiria UAFRIKA.
Hongera zake dada wa kikenya, umeiwakilisha Afrika ulipofika hapo.
Mkuu mbona miss Tanzania yupo natural hata nywele hajaweka dawa na hajichubui.
 

tuusan

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
12,254
2,000
kama si Kenya na Ethiopia sijui nani angekuwa anaiwakilisha eastafrica, wenzetu hua wako usingizi wa pono, kazi ni kulalama kila siku wakijiona bora, ilhali hakuna wanapo ipeperusha bendera ya Africa, sio kwa michezo, ubunifu wala chochote... bure kabisa.
Khaa hadi mambo ya wanawake mnaleta league? Sasa Ethiopia ipo east Africa tangu lini...
 

Kafrican

JF-Expert Member
Jan 26, 2015
6,270
2,000
We are getting the hang of it... In 2014 tulikua number 7 out of 120 contestants... Kabla hapo tulikua number 15.... Sasa tumefika number 5!

wp_ss_20161219_0002.png

Ipatie miaka mitatu hivi tutakua tunaingia runners up constantly..... Siku hizo tuko Na selection process nzuri Sana, kila jimbo linashindana wenyewe kwa wenyewe alafu kila mshindi anakua Miss County X, alafu badae wanashindana na county zengine mpaka Yule mshindi anakua Miss Kenya halisi manake ameshindana na misses WA kutoka county zote za kenya
 

Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
4,135
2,000
Wabongo full majungu hata kwa wanawake, nyie mlirogwa zamani na hamna dawa.
Ndio maana hata Mdee anawaita vidume suruali kwenye wimbo wake...
Huku ndo mtakuja penda usipende afadhali ya sie tunafanya yetu nyie kila siku kazi kuchungulia vinavyoendelea huku rudi tu nanyuki ya huku huyawezi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom