Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,289
- 7,065
Itakua tourists wanapandishwa wanashukia tsavo wanazunguka alafu jioni wanapanda train wanarudi Mombasa kwa beachSasa pia Railway towns zianzishwe so that just in case you wanna alight somewhere in the middle of the safari na ujienjoy unaweza kufanya hivo....