IAfrika
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 276
- 217
- Thread starter
- #81
Hatuongei kuhusu ardhi, tunaongea kuhusu suala la ajira, free movement of persons and labour in EAC and its impact to EAC economy.Kenya ni ndugu zetu, majirani wetu, Waafrika wenzetu. Mnakaribishwa Tanzania saa yeyote. Tunawapenda sana. Msiwe na hofu.
Bwana Obama alivyokuja kuwatembelea nchini Kenya, tuliona jinsi mlivyomkaribisha kwa furaha sana. Lakini alivyowaambia kuhusiana na suala la "Haki za Mashoga", Wakenya mlisimama msimamo mzuri na kulikataa hilo. Walimpa Bwana Obama kadi nyekundu.
Sasa na sisi pia katika "Suala la Ardhi", pia tunasimama na kusema vizuri na kusema hakuna ardhi kwa Wageni. Kadi Nyekundu. Labda muende Somalia au Ethiopia.
Mtuwie radhi.
Kutoa ardhi kwa Wageni, ni sawa na kumruhusu mgeni alale kitanda kimoja na mke wako.
Sio maadili.
Naona tunazungumzia masuala ya EAC, ni sawa na tunazungumzia kifuu cha nazi. Wakati SADC ndio Tanzania, tuna Mnazi na Madafu yake! Hakuna katika historia ya bara hili kama SADC, organization pekee iliyomuinua, kumuendeleza na kumlinda Mwafrika.