Kenya-Tanzania Forum fails to strike deal on Dar work permit fee

Sasa kati yangu na wewe wapi na wapi. Wewe ni cheap labor. Ndio maana sisi tunajimwaga maana ni raha. Nikikosa town naenda kulima maana ardhi ipo ya bwerere. Ninalima kisha nakula maisha yanasonga. Lakini wewe mwenzangu lazima uajiriwe uwe shamba boy wa wazungu la sivyo ulie lie uje TZ upate ahueni kidogo.

Tehehehee... Toa povu kabisa. Nataka utoe zote leo lazy bone
 
Elekeza hamaki zako kwa waajiri kwenu, hao ndio wanaona bora waingie gharama za kuwaleta wageni maana wanapata hasara wakiwategemea nyie. Mnalala sana....

Kuna waajiri wenu inabidi kama lazima wawape Watanzania kazi, basi wanalazimika kuwatafuta Watanzania waliosomea na kuishi Kenya. Angalia hii picha hapa chini utajifunza kitu. Badala ya wewe kuendelea kuogopa na kulialia kuhusu ushindani wa Wakenya na kutegemea serikali iendelee kukulinda, bora ufanye maamuzi ya kuwa mchapa kazi wa kujituma, ingia kwenye evening classes, jiboreshe na hapo utakua mtu wa kujiamini na asiyeogopa ushindani.

ajira.jpg
Kama nyie wachapakazi kwa nini nchi yenu masikini ? Wachapakazi Wakorea na Wajapani tunaona nchi zao zilivyoendelea.
Tumieni huo mnaoita uchapakazi wenu kujenga nchi yenu. Kulialia kwenu hakutawasaidia lolote, Magufuli anawatumikia Watanzania na sio Wakenya .
 
Tehehehee... Toa povu kabisa. Nataka utoe zote leo lazy bone
Kwikwikwikwi, Mbona kuna nchi nyingi tu zinawazunguka? Kwanini msiende kuomba work permit za bure somalia?
Kwa nini mnalia lia kuja TZ? TZ kwenu ni ulaya na mashariti tunaendelea kuyabana. Mkitaka msosi tutawapatia hainashida.
 
Tehehehee... What is the worst you can do... Nasikia mnafanya kwikwikwi wakati mnaroga
 
Nichokisema, wewe ni kati ya wakenya walio wengi vichwani ni empty. Ninakuuliza swali kwanini ulilie kuja Tanzania wakati sio nchi yako? Kwanini usijenge nchi yako? Mbona hiyo nchi yenu nayo ipo na ardhi tu!!? Kwanini usitumie mda wako kusaidia wakenya wenzio wanaokufa na njaa kwa kujituma kufanya kazi?
Hivi nani maskini kati ya hawa; anayelala na njaa na raia zake kufa kwa njaa!!? au yule mwenye chakula kingi na raia zake hawana njaa!!?

Mpaka lini nitakupa somo hili ulielewe au kichwa chako kwa ajili ya kufugia nywele pekee yake?
 
Kwikwikwi
 
Kama nyie wachapakazi kwa nini nchi yenu masikini ? Wachapakazi Wakorea na Wajapani tunaona nchi zao zilivyoendelea.
Tumieni huo mnaoita uchapakazi wenu kujenga nchi yenu. Kulialia kwenu hakutawasaidia lolote, Magufuli anawatumikia Watanzania na sio Wakenya .

Kama isingekua uchapa kazi wetu tungeorodheshwa kwenye nchi maskini kama nyie. Kainchi ketu kadogo lakini kanaitawala Afrika ya Mashariki na Kati.
Leo hii uchumi wetu unashinda viinchi vikubwa kubwa na vyenye kila aina ya raslimali kama DRC, Tanzania n.k.
Yaani hadi uunganishe uchumi wa Tanzania, Uganda na Rwanda ndio ufikie wa Kenya. Sasa hapo utajifunza kitu, kwamba kujituma ndio suluhisho.

Kwanza huyo Magufuli ndiye hatowalinda kwenye huo uzembe wenu. Umeona juzi mnamzingua Mnigeria Dangote akatinga ikulu ikabidi na ikabidi aachiwe afanye yake. Mlizoea viongozi walioendekeza uzembe na uvivu na wakawa wanawalinda maana wakija wachapa kazi mnapigwa chini. Leo naona kwa awamu hii mnaisoma namba, itabidi mtie bidii na kujiboresha, piga kazi tena kwa kujituma na hutaogopa ogopa Wakenya.
 
Pyuuuuu Kenya GDP ya ni $69.170b, Tanzania ni $49.695b, Ethiopia $69.218b, Nigeria $415.080b

Sasa hiyo tofauti ya $20b ndio inawavimbisha kichwa? Je huoni gape kati yenu na Nigeria ni mapesa kiasi gani? Ninaousema hapa ni ushamba fulani tu unawasumbua wakenya. Huwezi kujisifia kuwa nchi yako ipo juu wakati raia wanaishi kwa njaa.
Nikuulize swali tu, GDP ya Ethiopia ipo juu ya hiyo ya kenya, mbona kuchwa kukicha wanakamatwa waethiopia wakizamia nchini Tanzania kwamba maisha yao magumu?
Ipo projected mwaka 2020 Kenya itakuwa na GDP $213.8b wakati huo TZ itakuwa na $221.3b
Sasa hivi TZ ni ya 83 duniani wakati mwaka 2020 itakuwa ya 69.

Hapa tunaongelea GDP Nominal

Hebu sasa tuongee kiuhalisia je nyie kenya mpo juu ya Tanzania kwa kigezo kipi?
 
nyie ni uoga wa competition...... mnajua mkifungulia kenyan companies zitadominate the comunity..it's not our fault nyi ni wazembe, what's stopping you kuenda kuinvest kenya ama south Sudan.... fear of competition is what is eating you up acha kujiconsole na ati wakenya ni walafi
Hizo companies zimeshindwa kuwapa ajira hkohko zitake kuja kuwapa huku? Unaishia kusema kenyan companies dominate wakat wenyewe huko mna shida ya ajira kuliko hata mtanzania ambae hajaingia darasani na mnajikuta mna ma degree kibao sasa mbona wanawaletea hizo ajira watanzania wakat nyie competent mpo huko yanapotokea hayo makampuni na bado mnalia njaaa na kukosa ajira mnaishia kuibiana tu
 
Kama isingekua uchapa kazi wetu tungeorodheshwa kwenye nchi maskini kama nyie. Kainchi ketu kadogo lakini kanaitawala Afrika ya Mashariki na Kati.
Leo hii uchumi wetu unashinda viinchi vikubwa kubwa na vyenye kila aina ya raslimali kama DRC, Tanzania n.k.
Yaani hadi uunganishe uchumi wa Tanzania, Uganda na Rwanda ndio ufikie wa Kenya. Sasa hapo utajifunza kitu, kwamba kujituma ndio suluhisho.

Kwanza huyo Magufuli ndiye hatowalinda kwenye huo uzembe wenu. Umeona juzi mnamzingua Mnigeria Dangote akatinga ikulu ikabidi na ikabidi aachiwe afanye yake. Mlizoea viongozi walioendekeza uzembe na uvivu na wakawa wanawalinda maana wakija wachapa kazi mnapigwa chini. Leo naona kwa awamu hii mnaisoma namba, itabidi mtie bidii na kujiboresha, piga kazi tena kwa kujituma na hutaogopa ogopa Wakenya.
Turudie mara ngapi kuwa hatuwataki? Mmekuwa kama wanawake malaya kung'ang'ania mabwana. Jengeni nchi yenu mtulie kwenu. Jiiteni matajiri lakini msituletee shombo zenu kwetu.
 
Hamtutaki mkiwa nani, sema labda lofa wa kitaa kama wewe lakini wawekezaji wanakubali utenda kazi wa watu wanaojituma.
 
Unajituma vipi nyumbani kwako kila siku njaa haiishi!? Kujituma kwako kuendane na kukomboa tumbo. Nyie ni cheap labor tu msilete kisingizio. Je, kujituma kwenu kumeleta faida gani katika nchi yenu? Mbona kucha kutwa mnalilia kupata ndizi za kuchemsha toka moshi? Kila mara mnalialia kupata unga japo mpate mlo!!?
Je, kujituma kwenu kunafaida gani kwenu? Nyie ni wazembe wa kwanza Africa na ni maskini wa kutupwa na makapuku. Nyie zaidi tu ni vibarua wa kwenye mashamba ya wazungu. Tukipitisha sensa Kenya asilimia ndogo sana wana milki ardhi wengi wenu ni watumwa ndani ya nchi yenu.
 
Hamtutaki mkiwa nani, sema labda lofa wa kitaa kama wewe lakini wawekezaji wanakubali utenda kazi wa watu wanaojituma.
Ndio hivyo, vibali vya bure mnavyotaka hamtapata. Katika kampuni kubwa Tanzania huwezi kukuta wameajiri Mkenya , nyie mnapata kazi kwenye vijikampuni uchwara. Narudia tena, mwambieni Rais wenu awatengenezee ajira muache kutangatanga kwa jirani .
Jitumeni kwenu msaidie na vizazi vyenu. Umasikini jeuri wenu wa mitandaoni hauwasaidii kwa lolote, mmevuruga wenyewe nchi yenu kwa tamaa zenu na upunguani wenu
 
Hamtutaki mkiwa nani, sema labda lofa wa kitaa kama wewe lakini wawekezaji wanakubali utenda kazi wa watu wanaojituma.
Wangekua wanawakubali hayo makampuni si wangefungua hukohuko wawanufaishe zaidi? Ishu ni kwamba mna njaa sana mko tayari kulipwa hata visenti na kupewa kaeneo kakujibanza kuliko kukaaa huko kwenu mkihangaika wakenya wengi bongo ni cheap labor tu
 
Kampuni zipo Kenya, sasa wengi wanatanua na kuingia kwenye nchi za Afrika, hususan Bongo yenye mali ghafi nyingi. Tatizo linakuja pale wanahitaji watenda kazi wa kweli.
 
Mali ghafi kivipi? Hebu acha kujishebedua wewe. Hivi unadhani sisi hatujui kenya!!? Nchi gani mmeenda kwa ajili ya mali ghafi? Nyie ni wachuuzi na vibarua wa watu weupe mtatuambia nini. Tatizo la njaa limewashinda kulishughulikia kwa sababu nyie ni wazembe wa kutupwa Africa.

Inashangaza sana watu mnajiita uchumi wa kati huku njaa tu mmeshindwa kuiondoa kwa watu wenu.
 
Kampuni zipo Kenya, sasa wengi wanatanua na kuingia kwenye nchi za Afrika, hususan Bongo yenye mali ghafi nyingi. Tatizo linakuja pale wanahitaji watenda kazi wa kweli.
Kwakua ni wazalendo sana na wanawapenda kwa nn wasiagizie hizo mali ghafi na kuendelea kuwaajiri hukohuko?? Kenya wanatumia tu kama uchochoro wakujichotea wanayotaka humo na wakubwa kama mnayosema yangekua kweli msingekua mnahangaika kwenye nchi za watu hasa majirani zenu ambao mmewapita mana maskini wanakimbilia kwenye sehem nzuri yenye maslahi ila nashangaa nyie mnaojiita matajiri na mpo juu ndo wakwanza kulilia mpewe access kwenda kwa wenzenu ambao mnaona mmewapita Mmexico anakimbilia Marekani sabab wapo juu anajua huko mambo yatanyooka kidogo tabu inakuja kwa Mkenya anapolilia apewe easy acces kuja Tanzania
 
Back
Top Bottom