Kwakua ni wazalendo sana na wanawapenda kwa nn wasiagizie hizo mali ghafi na kuendelea kuwaajiri hukohuko?? Kenya wanatumia tu kama uchochoro wakujichotea wanayotaka humo na wakubwa kama mnayosema yangekua kweli msingekua mnahangaika kwenye nchi za watu hasa majirani zenu ambao mmewapita mana maskini wanakimbilia kwenye sehem nzuri yenye maslahi ila nashangaa nyie mnaojiita matajiri na mpo juu ndo wakwanza kulilia mpewe access kwenda kwa wenzenu ambao mnaona mmewapita Mmexico anakimbilia Marekani sabab wapo juu anajua huko mambo yatanyooka kidogo tabu inakuja kwa Mkenya anapolilia apewe easy acces kuja Tanzania
Kwikwikwi. Unajibu tu bila hatakuelewa kilichoandikwa. Nyie mpo tz kama wachuuzi tu. Hamna tofauti na house boys toka malawi.Hawatufuati kwa ajili ya uzalendo, mwanabiashara au mwekezaji hana cha uzalendo wala nini, yeye hufuata uchapa kazi wa kweli.
Kama wanawahitaji kweli basi walipe hizo gharama sio blah blah nyingi uingie bure kwan kwa babu yako huku si una uchumi mkubwa lipia hizo work permit au mmezoea mambo yenu ya nipeee mnapenda vya burebureHawatufuati kwa ajili ya uzalendo, mwanabiashara au mwekezaji hana cha uzalendo wala nini, yeye hufuata uchapa kazi wa kweli.
Kama wanawahitaji kweli basi walipe hizo gharama sio blah blah nyingi uingie bure kwan kwa babu yako huku si una uchumi mkubwa lipia hizo work permit au mmezoea mambo yenu ya nipeee mnapenda vya burebure
hehe EAC is not Tanzania......kwanza mlimaliza kutoa mchango wenyu kwa budget ya EAC??
Hawatufuati kwa ajili ya uzalendo, mwanabiashara au mwekezaji hana cha uzalendo wala nini, yeye hufuata uchapa kazi wa kweli.
Sasa si tungelia sisi mbona hii issue sasa mnaolia ni nyie?? Kama tungekua na hio shida zaid yenu sisi ndo tungekua tunawabembeleza mlegeze ila nashangaa sasa nyie ndo mnaolilia ishu ilegezwe wakati nyie ndo hotcake au ndo elimu ya mtandaoni tu mana mnayosema na hali halisi tofaut kabisa mana kipindi kile tu mlivofurumshwa hku mkajazana mitandaoni kulialia mnaonewa sasa we mtaalam gani unaeforce kibarua wakat ulitakiwa ww ndo uwe unahitajika sana hadi upewe special privileges hii kukimbizwa na kuanza kulialia inaonyesha nyie makapuku tu sema kukaa na wazungu huko ndo mnaona labda mkija huku mtaonekana special huku sie sio walamba miguu ya wageni kama nyie usiposomeka sepa tuHuwa hatulipi sisi, waajiri wenu ndio hulipia hivyo vibali. Unakuta anaingia gharama ya kulipia nauli ya KQ, hoteli na hivyo vibali. Mkenya halipi hata shilingi, wewe unayehitaji huduma za mgeni inabidi mwenyewe uingie hizo gharama.
Sasa mara nyingi anakua anahitaji sana utenda kazi wa Mkenya, jinsi anavyojituma lakini gharama za vibali zinakua mahesabu magumu hadi inabidi akwame na nyie humo.
Kwa mfano, unaweza kuta kampuni ya Kitanzania inahitaji mtaalam wa Kikenya aje akwamue issue fulani, hivyo anahitajika kuja na kuishi kwa miezi miine. Hapo inakua shuguli kwa kampuni.
Sasa si tungelia sisi mbona hii issue sasa mnaolia ni nyie?? Kama tungekua na hio shida zaid yenu sisi ndo tungekua tunawabembeleza mlegeze ila nashangaa sasa nyie ndo mnaolilia ishu ilegezwe wakati nyie ndo hotcake au ndo elimu ya mtandaoni tu mana mnayosema na hali halisi tofaut kabisa mana kipindi kile tu mlivofurumshwa hku mkajazana mitandaoni kulialia mnaonewa sasa we mtaalam gani unaeforce kibarua wakat ulitakiwa ww ndo uwe unahitajika sana hadi upewe special privileges hii kukimbizwa na kuanza kulialia inaonyesha nyie makapuku tu sema kukaa na wazungu huko ndo mnaona labda mkija huku mtaonekana special huku sie sio walamba miguu ya wageni kama nyie usiposomeka sepa tu
Tatizo lako ni ushamba tu na ulimbukeni. Huna lolote ujualo kuhusu universe. Ungekuwa mtu mwenye akili timamu ingeleta truth information. Zakini sasa hivi unaleta bra bra bra mlizolishwa na mabwana zenu yaali watawala zenu.Sio nyie mnaolia maana wewe sidhani kama una uwezo wa kumwajiri yeyote. Makampuni ndio yanalalamikia serikali za EAC.
kwikwikwi!!Tatizo lako ni ushamba tu na ulimbukeni. Huna lolote ujualo kuhusu universe. Ungekuwa mtu mwenye akili timamu ingeleta truth information. Zakini sasa hivi unaleta bra bra bra mlizolishwa na mabwana zenu yaali watawala zenu.
My friend TZ is not kenya and also Tanzania is not colonized as you now.
Pumba kabisa.
Am happy maana umekuwa mwanafunzi wangu. Kwikwikwi!!!kwikwikwi!!
kwekwekweAm happy maana umekuwa mwanafunzi wangu. Kwikwikwi!!!
Kwani yaliyoingia mtandaoni na kulialia ni makampuni?Sio nyie mnaolia maana wewe sidhani kama una uwezo wa kumwajiri yeyote. Makampuni ndio yanalalamikia serikali za EAC.
Akina nani hao wanaolia, nimekuambia makampuni Bongo ndio yenye yanaingia hasara Businesses protest new Tanzania rules for expatriatesKwani yaliyoingia mtandaoni na kulialia ni makampuni?
Gazeti lenyewe la kenya mambo si ndo yaleyale vilio vyenu mnataka viwe vyetu kaeni huko mtatue shida zenu badala ya kulia mpate access kwa wenzenu mpelekee mkenya mwenzio mkasome huo uharoAkina nani hao wanaolia, nimekuambia makampuni Bongo ndio yenye yanaingia hasara Businesses protest new Tanzania rules for expatriates