Subiri muda kidogo tu utaelewa na tutakutana huko.Nakumbuka kulikuwa na kitu kama hiki!
JF ilipigwa cyber attack. Bwana yule alipiga indirect leo tunapigwa direct.Nakumbuka kulikuwa na kitu kama hiki!
Baada ya JF kupigwa pini kipindi kile, tuli migrate Kenya talk na tukapewa kabisa jukwaa la Jf kuleNakumbuka kulikuwa na kitu kama hiki!