Kenya secretely treated sick Mandela just after prison

Kafrican

JF-Expert Member
Jan 26, 2015
6,257
2,000
Mandela 'was secretly treated in Kenya in 1990'

Kwa wale wanaopenda Ku accuse Kenya kwa Ku support Apartheid, Soma vile Moi alifanya highest priority kumshuhulikia Mandela Na hata hajawai tangaza hilo jambo ... Alafu at the same time Kenya pia ilikua Ina supply Zimbabwe Na spare parts za ndege za kivita za Hawk jet ambazo Ni za UK, kisirisiri baada ya Zimbabwe kuwekewa vikwazo Na EU...

South African freedom icon Nelson Mandela, who died in December 2013, was secretly treated in Kenya in 1990 soon after he was released from the Robben Island jail, Mr Kalonzo Musyoka writes in his book.

Mr Mandela, he writes, was on an official trip to Addis Ababa, Ethiopia, when he was taken ill and flown to Nairobi where he was treated by President Daniel arap Moi’s personal doctor.

Mr Musyoka writes: “I first met Mandela in dramatic circumstances in 1990. I was then Deputy Speaker of the National Assembly. He had just been released from prison in April that year. I had gone to State House for a meeting with Moi. Before we could even start our meeting, Moi received information that was rather urgent. He told me: ‘Forget the meeting. Mandela is very sick, he is coming and I don’t want any media or cameras. We must organise for his hospitalisation’.”

“The icon had been taken ill while on a visit to Addis Ababa. We sped to Jomo Kenyatta Airport with Moi. I was driving behind his small convoy. There was no fanfare; nothing special; no song and dance. No journalists and photographers. It was just Moi, the medical staff and I.
.......
 
ArD67

JF-Expert Member
Nov 14, 2016
2,821

Hili nalo ni jambo la kuliona kama mchango kwa upiginiaji uhuru wa mtu mweusi South kweli, okay alifanya vyema.
 
Sijaongelea mchango wa upiganiaji kiaina hivyo......
Watz wengine hapa hupenda kueneza propaganda za ki ujamaa, eti Kenya iliaupport apartheid...... Hili tukio moja linaonyesha haikuwa hivyo.... Vile moi alisema," Forget the meeting, Mandela is very sick"
Hiio pekee inaonyesha insight ya vile Moi alimchukulia Mandela.... Anaonyesha vile alikua concerned kuhakikisha afya yake iko sawa, Na hata baada ya kumshughulikia hakuwahi tangaza hadharani hadi Leo, hats baada ya Mandela kuchukua uongozi wa SA...
 
Okay! Nimekuelewa, ile vita ilikuwa si kwa silaha za mitutu tu bali hadi kiuchumi, hapo ndipo capitalist block linapoonekana kulisaluti taifa hilo.
 
ubinaadamukwanza

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
222
250
After the death of Comrade Mandela, Israel also released the press, claimed that they trained and supported Nelson Mandela during the dark days of Apartheid.

Hapo hapo, Nelson Mandela Foundation walijibu kuwa hawana kwenye kumbukumbuza zao kuwa Israel ilitoa msaada wowote kwa Komredi Mandela.

Kusema Uongo ni Utamaduni wa Wa-Israeli.

Serikali ya Kizayuni ndio iliyoisaidia Serikali ya Kibaguzi ya Wazungu wachache kujenga vyungu vya Nyuklia.
Wanaharakati wengi wa haki za Binaadamu wa Afrika Kusini wamekuwa mstari wa mbele kuipinga Israel ikiwa na pamoja kuomba Serikali ya Afrika Kusini kumrudisha Balozi wake nyumbani na kufunga Ubalozi wao huko Tel Aviv.

Hatuna historia yeyote rasmi kuwa Kenya au Malawi iliwasaidia Wapiganaji Huru wa Kusini mwa Afrika.

Mwanaharakati mmoja anayejulikana kama Bwana Asante mwenye asili ya Kiamerika, alisema akiwa Harare miaka michache iliyopita "Kitu gani Kenya imeifanyia hili Bara? Hakuna. Kenya tokea ipate Uhuru wake, haijaifanyia Afrika kitu chochote..."

Kenya pia ilijitokeza wazi kumpinga Mama Dlamini alipokuwa anawania kiti cha Umoja wa nchi za Afrika. Ingawa mama huyu baada ya kupata madaraka, ndie aliyesimama kidete kuipinga ICC na kutetea haki za Rais wa Kenya na msaidizi wake.
 
lwiva

JF-Expert Member
Apr 17, 2015
4,973
2,000
Mandela 'was secretly treated in Kenya in 1990'

Kwa wale wanaopenda Ku accuse Kenya kwa Ku support Apartheid, Soma vile Moi alifanya highest priority kumshuhulikia Mandela Na hata hajawai tangaza hilo jambo ... Alafu at the same time Kenya pia ilikua Ina supply Zimbabwe Na spare parts za ndege za kivita za Hawk jet ambazo Ni za UK, kisirisiri baada ya Zimbabwe kuwekewa vikwazo Na EU...

South African freedom icon Nelson Mandela, who died in December 2013, was secretly treated in Kenya in 1990 soon after he was released from the Robben Island jail, Mr Kalonzo Musyoka writes in his book.

Mr Mandela, he writes, was on an official trip to Addis Ababa, Ethiopia, when he was taken ill and flown to Nairobi where he was treated by President Daniel arap Moi’s personal doctor.

Mr Musyoka writes: “I first met Mandela in dramatic circumstances in 1990. I was then Deputy Speaker of the National Assembly. He had just been released from prison in April that year. I had gone to State House for a meeting with Moi. Before we could even start our meeting, Moi received information that was rather urgent. He told me: ‘Forget the meeting. Mandela is very sick, he is coming and I don’t want any media or cameras. We must organise for his hospitalisation’.”

“The icon had been taken ill while on a visit to Addis Ababa. We sped to Jomo Kenyatta Airport with Moi. I was driving behind his small convoy. There was no fanfare; nothing special; no song and dance. No journalists and photographers. It was just Moi, the medical staff and I.
.......
Kenya na Malawi pumbavu kweli
 
Uhuru n Umoja

JF-Expert Member
May 25, 2016
684
1,000

Well said.
 
Huu ni uongo! Or hii ni habari toka kwa news za utani. Taarifa za kweli na nijuazo ni kua: Mandela na Thabo Mbeki hawakushuka kwenye ndege ingawa viongozi wa Kenya walikua uwanjani kuwalaki.

Mnajipendekeza sana.
 
Jodeo

JF-Expert Member
Mar 10, 2015
1,183
2,000
Sijaongelea mchango wa upiganiaji kiaina hivyo......
Watz wengine hapa hupenda kueneza propaganda za ki ujamaa, eti Kenya iliaupport apartheid...... Hili tukio moja linaonyesha haikuwa hivyo.... Vile moi alisema," Forget the meeting, Mandela is very sick"
Hiio pekee inaonyesha insight ya vile Moi alimchukulia Mandela.... Anaonyesha vile alikua concerned kuhakikisha afya yake iko sawa, Na hata baada ya kumshughulikia hakuwahi tangaza hadharani hadi Leo, hats baada ya Mandela kuchukua uongozi wa SA...
1482141082157.jpg
 
Luggy

JF-Expert Member
Aug 6, 2012
2,929
2,000
Mandela asingweza kutibiwa na mbwa koko wa Makaburu

Mandela 'was secretly treated in Kenya in 1990'

Kwa wale wanaopenda Ku accuse Kenya kwa Ku support Apartheid, Soma vile Moi alifanya highest priority kumshuhulikia Mandela Na hata hajawai tangaza hilo jambo ... Alafu at the same time Kenya pia ilikua Ina supply Zimbabwe Na spare parts za ndege za kivita za Hawk jet ambazo Ni za UK, kisirisiri baada ya Zimbabwe kuwekewa vikwazo Na EU...

South African freedom icon Nelson Mandela, who died in December 2013, was secretly treated in Kenya in 1990 soon after he was released from the Robben Island jail, Mr Kalonzo Musyoka writes in his book.

Mr Mandela, he writes, was on an official trip to Addis Ababa, Ethiopia, when he was taken ill and flown to Nairobi where he was treated by President Daniel arap Moi’s personal doctor.

Mr Musyoka writes: “I first met Mandela in dramatic circumstances in 1990. I was then Deputy Speaker of the National Assembly. He had just been released from prison in April that year. I had gone to State House for a meeting with Moi. Before we could even start our meeting, Moi received information that was rather urgent. He told me: ‘Forget the meeting. Mandela is very sick, he is coming and I don’t want any media or cameras. We must organise for his hospitalisation’.”

“The icon had been taken ill while on a visit to Addis Ababa. We sped to Jomo Kenyatta Airport with Moi. I was driving behind his small convoy. There was no fanfare; nothing special; no song and dance. No journalists and photographers. It was just Moi, the medical staff and I.
.......
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
20,115
2,000
Kafrican,

..mbona husemi kwamba Moi alikwenda South Africa during apartheid?

..tena alipozungumza na waandishi wa habari wakamuuliza kama ataipigania apartheid south africa iwe mwanachama wa oau!!

..pia zipo habari kwamba nchi ya kwanza ya Kiafrika kuombwa ku-host makao makuu ya anc in exile ilikuwa ni Kenya. Lakini kwasababu mlikuwa western puppets mlikataa ombi hilo.
 
Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
30,593
2,000
When nyang'au wants to take credit for even a little thing like treating a poor patient in the name of Mandela!? Ni shida n I call that desperation of highest order u whiteman's butts licker! History can't be rewritten by that small gesture to a sick passenger who was on transit to Addis Ababa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom