Kenya Ranked 5th Richest African Country

Sina mapenzi na hiyo CCM, lakini sidhani kama lengo letu la msingi ni kuitoa CCM madarakani,
Lengo letu ni kupata viongozi bora, regardless vyama wanavyotoka.

Mkuu

CCM ni machinery,anaingia mtu msafi ila anageuzwa dudu la ajabu!

CCM is an enemy number 1......

Watu mpaka wanakataa kukujengea katiba yako just because wanaona kuna vitu vitawanyima kutawala kwa impunity!

Usinidanganye kabisa....CCM ni dude moja la ajabu sana na lina-breed big and small devilz everyday!
 
Mi nachojua mbona maisha ya kenya magumu sana hata kula mara tatu ni ngumu huo utajir ni upi wakati mnapepo la njaa
20131019_gdm975.png


HUNGER IN TANZANIA ALARMING
 
Mambo mengine bhana......tukiacha hayo matakwimu uchwara......nyie mliopo hapk nchini kwenu kenya.....mnaionaje hali ya uchumi wenu!!!??
 
Back
Top Bottom