Kenya Ranked 5th Richest African Country

evart

JF-Expert Member
Sep 4, 2016
2,854
2,000
Tanzania imeipiku Ethiopia. Kenya kaipiku Angola.

3 East African countries among top 10.
East Africa rising.
The only thing we need is to cooperate with each other.
Tanzanians stop thinkingthat you are superior because you have food. Only a fool thinks about eating all the time.
We eat to live but we don't live to eat
100%
 
oneflash

JF-Expert Member
Oct 4, 2014
659
1,000
I love this KE vs TZ trolling business......ombeni mungu tusifanikiwe kuua CCM...tukiiweza CCM my friends you will be overtaken kama mumesimama vile!

Ni kweli tupo in deep shit sababu ya CCM tu and nothing else!
You might be right but the problem is that you guys are not trying. Ona vile Uganda wanajizatiti kutikisa Museveni licha ya kwamba wanaelewa hilo ni Sawa na kupanda mchongoma. When Kenyans picket on roads mnasema nyinyi ni watu wa amani. Uprooting that CCM sucker will not be an easy job, put on some steel gloves.
 
Arnold mrass cannambo

JF-Expert Member
Apr 13, 2018
3,910
2,000
Kweli
Tanzania imeipiku Ethiopia. Kenya kaipiku Angola.

3 East African countries among top 10.
East Africa rising.
The only thing we need is to cooperate with each other.
Tanzanians stop thinkingthat you are superior because you have food. Only a fool thinks about eating all the time.
We eat to live but we don't live to eat
 
Mkikuyu- Akili timamu

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
4,313
2,000
The weathiest country in Africa is Congo $24trillion dollars in natural resources closely followed by Angola, libya, SA and Tz
 
game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
8,109
2,000
You might be right but the problem is that you guys are not trying. Ona vile Uganda wanajizatiti kutikisa Museveni licha ya kwamba wanaelewa hilo ni Sawa na kupanda mchongoma. When Kenyans picket on roads mnasema nyinyi ni watu wa amani. Uprooting that CCM sucker will not be an easy job, put on some steel gloves.
Even Kenya, you've changed nothing, mmebadili chama but the same rulers, wtf
You've been ruled by the same royal family of incompetent thugs since your independence,
Mind Jubilee will form another brand new coalition sooner as jubilee loses influence,
Yaani Nyani walewale msitu mpya.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,945

Hehehe getting rid of ccm labda after 1,000 years, jamaa waoga kupita maelezo. Leo hii ni hatia kuhutubia umati wowote, ila Magu anatembea nchi yote akihutubia.
Upinzani Tanzania hawana lolote maana hata wabunge na madiwani wao wananunuliwa kama karanga, wanahama vyama vyao na kujiunga na ccm, yaani Tanzania kuifikia Kenya labda baada ya miaka 2,000 kwanza gap inazidi kuongezeka, tunaendelea kuwaacha kwenye lindi la umaskini.
 
oneflash

JF-Expert Member
Oct 4, 2014
659
1,000
Even Kenya, you've changed nothing, mmebadili chama but the same rulers, wtf
You've been ruled by the same royal family of incompetent thugs since your independence,
Mind Jubilee will form another brand new coalition sooner as jubilee loses influence,
Yaani Nyani walewale msitu mpya.
What do you mean by same royal family?. We've only been ruled by the Kenyattas twice, but otherwise we've heard Moi, kibaki. Remember that Uhuru had to struggle, it was not easy for him. He gave the first shot at the presidency and he was handed a big NO, he had to re-brand before he could succeed. Nyani might be wale wale but at least this different forests comes with change, not the other way: same forests, same monkeys and same old narrative. A dog on a CCM party can easily beat Magufuli running on opposition party.
 
IamLee

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
3,624
2,000
5th wealthiest and 5th fastest...sounds like we headed straight to the top!

1539156278732.png
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
11,915
2,000
You might be right but the problem is that you guys are not trying. Ona vile Uganda wanajizatiti kutikisa Museveni licha ya kwamba wanaelewa hilo ni Sawa na kupanda mchongoma. When Kenyans picket on roads mnasema nyinyi ni watu wa amani. Uprooting that CCM sucker will not be an easy job, put on some steel gloves.

Political revolution ni wave....Uganda inaenda vizuri,na sisi itapita tu...CCM tutafanikiwa kuitoa madarakani one day hata kama ni 1mil years to come!

CCM is the group of savages!
 
oneflash

JF-Expert Member
Oct 4, 2014
659
1,000
Political revolution ni wave....Uganda inaenda vizuri,na sisi itapita tu...CCM tutafanikiwa kuitoa madarakani one day hata kama ni 1mil years to come!

CCM is the group of savages!
I wish you well bro!. Hopefully soon. Kilicho na mwanzo bila Shaka kitakuwa na mwisho. Wahenga hawakukosea kwa kusema: Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha!....
 
Hamster255

JF-Expert Member
Mar 19, 2018
843
500
The weathiest country in Africa is Congo $24trillion dollars in natural resources closely followed by Angola, libya, SA and Tz
hahahahahahahahahahaha this guy.. the drugs he takes.... i always come here to read his bongolala nonsense... a blind man in a dark room claiming he can see the light
 
Hamster255

JF-Expert Member
Mar 19, 2018
843
500
Even Kenya, you've changed nothing, mmebadili chama but the same rulers, wtf
You've been ruled by the same royal family of incompetent thugs since your independence,
Mind Jubilee will form another brand new coalition sooner as jubilee loses influence,
Yaani Nyani walewale msitu mpya.
Msitu CCM for 50 years... na Bongolalas ni wale wale... hahahahahaha #5 baybay...
 
Habdavi

JF-Expert Member
Mar 5, 2011
580
500
Tell us how you've accumulated your wealth. From world records it shows that you rank high in corruption.
 
madindigwa

JF-Expert Member
Aug 30, 2017
1,867
2,000
wacha wee! And that is according to New World Wealth eti eh? You guys are dumber than baby chicks thinking the rooster is their mother
Mi nachojua mbona maisha ya kenya magumu sana hata kula mara tatu ni ngumu huo utajir ni upi wakati mnapepo la njaa
 
game over

JF-Expert Member
Jan 1, 2016
8,109
2,000
Political revolution ni wave....Uganda inaenda vizuri,na sisi itapita tu...CCM tutafanikiwa kuitoa madarakani one day hata kama ni 1mil years to come!

CCM is the group of savages!
Sina mapenzi na hiyo CCM, lakini sidhani kama lengo letu la msingi ni kuitoa CCM madarakani,
Lengo letu ni kupata viongozi bora, regardless vyama wanavyotoka.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom