Kenya: Rais Uhuru Kenyatta afunga Shule zote nchini Kenya

Kenya: Rais Uhuru Kenyatta afunga Shule zote nchini Kenya

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,298
Reaction score
38,440
Raisi Uhuru Kenyata amefunga shule zote nchini humo kutokana na tishio la virusi vya Corona.

Raisi amegiza kesho wanafunzi wa shule za msingi wasiende shuleni,. Wanafunzi wa shule za Sekondari mwisho jumatano na vyuo vikuu mwisho ijumaa wote wawe majumbani mwao.

20200315_181136.jpeg
 
Nadhani serikali yetu ya Tanzania , pamoja Na Rais wetu kutoa tahafhari lkn nadhani kuna haja ya kuchukua hatua ya kusimamisha shughuli zote tusisubirie hadi mgonjwa agundulike
 
Hii COVD-19 inatakiwa ikapige pale kwenye jumba jeupe, ili AMANI na UTULIVU viweze kurejea nchini.
 
Back
Top Bottom