Kenya: Raila Odinga anunua kadi ya mtandao wa Airtel kisha kujiunga rasmi na kuachana na Safaricom

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
Kinara wa Vuguvugu la Ukombozi (NRM), Raila Odinga leo saa kumi alasiri katika barabara ya Koinange jijini Nairobi nchini Kenya. Ameinunua kadi mpya ya mtandao wa Airtel na kujiunga rasmi na kuachana na Safaricom na kuwataka wakenya wote kufuata mfano wake.

Vuguvugu hilo linawataka wafuasi wao kususia bidhaa na huduma za kampuni za Safaricom, Bidco Industries na Brookside.

------------------

One of companies that we have asked Kenyans to boycott is Safaricom because of its role in aiding and abetting those who are subverting the democratic will of Kenyans.

The National Resistance Movement of NASA (NRM) will continue in the days ahead to roll out more measures to action as part of our Economic Liberation Programme.

We shall not stop until our nation gets justice in the from of free, fair and credible elections.
# Resist
 
Kenya imetumia mabilioni ya fedha kufanya uchaguzi na wanaishia kwenye mabishano
 
Imbecile
 
Dah.. Siasa za Afrika huzaa mambo ya ajabu mno!

Sasa wale wajaluo wanaofanya kazi Safaricom watahama bila kujiandaa.
wajaluo waachie ngazi wawaachie wawaachie 'wakenya' nafasi !
 
Hapa kwetu Tanzania kuna chama kiliwahi kufanya hivyo.....
Sijui kiliishia wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…