Kenya: Raila Odinga anunua kadi ya mtandao wa Airtel kisha kujiunga rasmi na kuachana na Safaricom

ila safaricoma wataumia kwa namna moja ama nyingine
Wataumia mno ila hii itakuwa effect kubwa sana! Safaricom watapunguza wafanyakazi km sales zitapungua hawatawezalipa mishahara tena km awali, watu watakosa ajira na marupurupu hakuna uchumi utayumba kitaifa faida kubwa ATAPATA ODINGA...

Hivi wanasiasa ni wapumbavu wajinga ama ni mubwa? Hawafikirii hasara kwenye chain nzima ya kampuni wanawaza maisha yao HAKIKA RAILA NI MBINAFSI
 
Back
Top Bottom