Kenya pleaaaaaaaaaase,not again jamani

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha wapo vizuri!
 
Hivi hao wadudu wanaoitwa Kenya wanapatikana NCHI gani!?
 
Hahahaa...poa basi tuwape tu...
 
Mwisho watasema Na Tanzania ni mkoa wa Kenya
 
Tatizo sisi watz hatutangazi vivutio vyetu ndio maana wakenya wanatangaza sana vitu vingine ambavyo viko tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…