Dah kweli hawa jamaa wanaona mbali sisi tunapiga siasa tu bila kikomo........hivi mkataba wa wakoloni unasemaje kuhusu Turkana...ipo kenya au tz?? :tongue:....tianze kujipanga :A S-omg:
Mkuu Bulldog wenzetu wanaona mbali sana wanajua wakitumia vyema mafuta yao katika soko la EAC watazidi kuwa na nguvu sisi kila kitu tunaingiza siasa.
Tunashindwa kujenga pipeline ya kupeleka mafuta Kaskani na kusini, badala yake tunatumia malori. Tungeweza kushusha sana gharama za usafirishaji kama tungejenga pipeline za kupeleka mafuta to some strategic areas.
Mkuu hata bila pipeline tungeimarisha reli ya kati,kaskazini na tazara tungeweza safirisha mafuta kwa bei nafuu,mizigo na bidhaa za kilimo,tukapunguza uharibifu wa malori ktk barabara zetu na ajali za mara kwa mara.
sisi tunawaza kununua mavx, v8, kujenga majumba ya kifahari,kuongeza wake na upuuzi mwingineo usio na tija
waoa wanawaza ya mbeleni zaidi kujiinua wao na vizazi vijavyo.
Hata sisi Tunaona mbali Mkuu kuwapeleka watu Misitu ya Mabwepande kwaajili ya kuwanyamazisha ili wasione mbali sio kazi ndogo!Mkuu Bulldog wenzetu wanaona mbali sana wanajua wakitumia vyema mafuta yao katika soko la EAC watazidi kuwa na nguvu sisi kila kitu tunaingiza siasa.