KENYA MMEFIKA HUKU?

Ndio umesikia hili leo? Hili limekuwa gumzo for almost 2months now, linajadiliwa kwenye bunge la senate kama ikuwe legalized or not. Baadhi wanaunga mkono hoja hilo, hata wengine kukiri kuwa wamewahi kuwa waraibu wa mmea huo.

Ndio, tumefika hapa.
 
Tatizo mambo za Kenya ni kimya kimya.
 
Aise manyang'au hapa mmenikosha walahi. Wacha bongo lala waendelee kulala, mosi, hii itapunguza gharama za kesi za kijinga, pili, ni fursa kubwa mnoo kibiashara na kiuchumi, heko mazee. Nitakuwa napiga road trips hadi Kenya kujiachia na joints zangu, venye wanaweka double roads hadi Namanga.
Mungu nijalie uzima
 
Irie Irie irie!
"In Jeff Mwangemi tone"
Ikikuwa legal itapunguza misuguano kati ya polisi na wananzengo.
 
Kenya ni Jamaica ya Africa. Angalia tanaduni zao nyingi kama Mziki. Zinafanana na Wakenya
 
Back
Top Bottom