Ninyi kawaida yenu mna matatizo sana, hivi unaweza vipi kuhukumu udhaifu wa ulinzi kwa kuangalia tamasha kwenye runinga. Jeshi letu lipo imara na ndio la sita bora Afrika. Nimependa sana jinsi ndege zetu za kivita zimedhihirisha ushujaa na ubora wa marubani wetu. Uwezo tunao, Mungu ibariki Kenya....adui wabaki pembeni.