Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,222
- 79,514
ofcourse pelekeni mahindi kwa over 1.5 mln Kenyans in hunger! Uhuru hana tofauti na Kim Rais wa Korea Kaskazini!Kwani kwa akili zenu finyu hivi vyombo ambavyo vinarushwa angani huwa ni vya anasa au? Vinatumiwa kuboresha maisha, ikiwa ni pamoja na ukulima, usalama, elimu n.k. Kupitia mbinu za kisayansi, sio ule uKinjekitile wenu wa sijui nyungu season 2 na kuviombea virusi makanisani na misikitini. Sitashangaa kusikia kwamba hadi kwenye karne hii bado mnauziwa data na 'mabeberu' wenu wapendwa, zinazohusu uvamizi wa nzige unaoendelea ndani ya mipaka ya Tz. Pendeni kusoma kwanza kabla ya kurukia kwenye comment zenu za kipumba. "...The benefits of having satellites in space include selling data collected to other countries. It also means the availability of quality data for use in making efficient decisions in the fight against climate change, promotion of national security, enhancement of agriculture, learning, identifying areas with minerals through earth observation..."
Tony254