Kenya kuna Mjadala mkubwa sana kwa sasa kuhusu Cancer

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,493
8,729
Wakuu nchini kenya kuna taharuki ya hatari sana make ndani ya mwezi mmoja hivi na wamepoteza viongozi watatu.kwanza ni CEO wa Safaricom then Mbunge na sasa Gavana.

Wanamjadala mkubwa sana na wanacho taka ni Serikali itangaze cancer kama janga la Taifa.

Ila kwakweli Cancer ni hatari jamani mimi sikuwaga najua nilijua Ngoma nfo hatari ila Cancer inatisha. Tuombe sana na hizi life style za siku hizi aisee tutaisha.
 
Rest in peace mah grandpa kansa ilikuondoa ila ulikuwa unapendelea pombe Kali na sigara,umeniachia jina lako ila tabia sijazirithi,alikua na kansa ya koo.. Jamani kansa inatesa
Umenikumbusha babu yangu asee. Aliumwa kansa ya koo sabb kubwa ikiwa unywaji wa pombe. Ilifikia kipindi
Akawa anatoka usaha mdomoni. Aliteseka mno maana chakula ilibidi kipitishwe kwa kutobolewa koo. Amefariki mwaka jana mwishoni..
 
Very sad hata mi wangu alitobolewe koo hewa ipitie apo msosi alikua naula through mdomo ila alikua na uvimbe mkubwa pembeni haukauki hadi huruma
 
Back
Top Bottom