Kenya: Kenyan high performance shoe manufacturer to take on the big boys

Some of us wear $200 Jordans or Timberland itakuwa hizo katambuga za Kunyaland?! Hizo tunawaachia wakimbiaji wenu
The only person who can afford $200 shoes in Tanzania is either Diamond or the president. The rest the much you afford is black tea and cassava. These are designed for the best runners in the world, kenyan marathon runners.
 
Duh wacha nicheke tu. Nimekuelewa
 
The only person who can afford $200 shoes in Tanzania is either Diamond or the president. The rest the much you afford is black tea and cassava. These are designed for the best runners in the world, kenyan marathon runners.
Una mashetani wewe boya
 
Bora umenisaidia kumfungisha bakuli huyo, hawa jamaa itakuwa ni maskini sana. Nmemshangaa.
 
Jf bana, kwani nani amesema kwamba lazima mvae viatu vya Enda, 100% Proudly Made in Kenya. Ili wakenya waliochangamkia fursa ya sifa ya Kenya kwenye riadha wafanikiwe? Viatu vyenyewe ni 'high perfomance', spesheli kwa wanariadha. Hadi sasa hivi wanariadha wengi kutoka kote duniani wamevikubali na vimeuzwa kwenye nchi zaidi ya 40! Lupita Nyong'o alivivalia na akavifanyia endorsement kama mzalendo wa kweli. Sasa nyinyi vibwengo wengine mtabadilisha nini haswa?
00520534:febc48f30ac625fbe082ff17327e5f64:arc614x376:w735:us1.jpg
 
Jf bana, kwani nani amesema kwamba lazima mvae viatu vya Enda, 100% Proudly Made in Kenya, ili wakenya waliochangamkia fursa ya sifa za Kenya wafanikiwe? Viatu vyenyewe ni vya 'high perfomance' special kwa wanariadha. Hadi sasa hivi wanariadha kote duniani wamevikubali na vimeuzwa kwenye nchi zaidi ya 40. Lupita Nyong'o alivivalia na akavifanyia endorsement, sasa nyinyi vibwengo wengine mtabadilisha nini haswa?
Lupi.jpg
Labda na wewe umfahamishe kibwengo mwenzio hapo juu kuwa watu wengine hawavai coz ni special kwa wanariadha na si coz they can't afford them. Ndio maana nimemwambia we can afford $200 shoes lakini hivyo tunawaachia wanariadha wenu
 
Ingekuwa ni wahabeshi au wajamaica ndio wanaponda hivi viatu ningewaelewa. Majungu yenu nyinyi ambao hampo kwenye ramani ya dunia ikifika kwenye riadha hayatabadilisha kitu. Viatu hivi vimevaliwa kwenye nchi zaidi ya 40, sio vya kubahatisha, na sasa Enda wamewezeshwa na wameingia kwenye level nyingine. Watafanikiwa tu, mpende msipende.
DpnYlJqWkAAfa5a.jpg
Courtesy of 254.
 
Kuponda au kupenda ni maoni binafsi ya mtu. Sio kila mtu atapenda hivyo viatu. Sio kila mtu ni runner. Mbona tumevaa sana Bata (sijui kama bado vipo)
 
Ingekuwa ni wahabeshi au wajamaica ndio wanaponda hivi viatu ningewaelewa. Majungu yenu nyinyi ambao hampo kwenye ramani ya dunia ikifika kwenye riadha hayatabadilisha kitu. Viatu hivi vimevaliwa kwenye nchi zaidi ya 40, sio vya kubahatisha, na sasa Enda wamewezeshwa na wameingia kwenye level nyingine. Watafanikiwa tu, mpende msipende.
DpnYlJqWkAAfa5a.jpg
Courtesy of 254.
kama designer ndio ameishia hapa basi wavae wakimbiaji tu.

hata wewe ukivaa unavalia uzalendo,si ati kwamba kiatu inamvuto.
 
Okay first:
Just because you can download images on the internet and post them is not proof. Please you can not afford those, you keep downloading online receipts and pictures of other people's shoes. Here are pictures of vapor fly, I guess to you that means I own a pair of vapor fly zoom x . Try another idiot probably your compatriots will believe you. Anybody can download images from the internet.
1573390454553.png
 
View attachment 1259541
Ha ha ha I downloaded someone's receipt and put your name on it?! Seriously you don't believe someone in jf can afford $200 shoes?!
 
Back
Top Bottom