simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,760
- 9,663
Sijauliza,nadhani ni 'kiduchu'transaction fees zipo aje
Kama nchi tumechelewa sana kufika huko,,Kenya is quickly becoming a cashless society. From paying for a matatu ride to buying vegetables from mama mboga or even karanga from a street vendor, most payments are now done through M-Pesa
aisee imebidi niende kuchungulia kwenye websites zao,Sijauliza,nadhani ni 'kiduchu'
Tozo shidaaaa! Tunambiwa serikali sikivu.aisee imebidi niende kuchungulia kwenye websites zao,
tanzania aisee viongozi inabidi watueleze fedha zetu wanapeleka wapi
fees nyingi zipo nusu ya huku kwetu,Tozo shidaaaa! Tunambiwa serikali sikivu.
Safaricom Kenya na Vodacom Tanzania ni kampuni moja kwa nini hawawezi kufanya Tanzania kama walivyoweza kufanya Kenya?Kibongo bongo fee zinaumiza sana..
Mi toka nimeanza kutumia Selcom nimeacha kabisa kulipa cash, hawa jamaa wana bando la mwezi , unalipa 10500, miamala bure mwezi mzima!
Nimejikuta naokoa hela nyingi na hakuna tena usumbufu wa chenji!
Fikiriishi sana.Vodacom Kenya na Vodacom Tanzania ni kampuni moja kwa nini hawawezi kufanya Tanzania kama walivyoweza kufanya Kenya?
Hilo linafaida gani kwa mtu wakawaida mkuu, nilidhani utaelezea faida zake ilituweze kusama ni maendeleo, ila mimi najua cash economy ni nzuri kiliko credit economy.Kenya inakuwa kwa kasi jamii isiyotumia pesa taslimu. Kuanzia kulipa nauli ya matatu hadi kununua mboga kwa mama mboga au karanga kwa muuza wa barabarani, malipo mengi sasa yanafanyika kupitia M-Pesa
Afrika moja is a pleasing illusion but never to be achieved- is it?One religion one currency
Sio credit economy, ni cashless economy. Faida mojawapo kubwa ni inawawezesha wafanyabiashara wadogo na watoa huduma ndogo ndogo kuweza kukopa kirahisi, kwa haraka na kwa masharti rahisi ya dhamana, faida nyingine inaondosha usumbufu wa chenji.Hilo linafaida gani kwa mtu wakawaida mkuu, nilidhani utaelezea faida zake ilituweze kusama ni maendeleo, ila mimi najua cash economy ni nzuri kiliko credit economy.