Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Wakati zaidi ya wakazi milioni 2 wa nchi ya Kenya wakiwa hawana chakula na nchi hiyo imeomba msaada wa chakula kutoka nje, Serikali yake inatumia zaidi ya milioni 400 (USD) kununulia Silaha!
Kumbe fedha zipo, sasa kwa nini nchi ya Kenya ilikwenda kukopa kwa Wachina kujenga Reli? Kwa nini wasingetumia fedha zao kujengea Reli? Na isitoshe ni nani adui wa nchi ya Kenya mpaka itumie fedha zote kununulia Silaha?
Serikali ya Kenya yaomba msaada ya chakula kulisha watu wake!
Watoto wa Shule nchini Kenya, wakisubiri chakula!!