Kenya identifies sites for nuclear power plant | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kenya identifies sites for nuclear power plant

Discussion in 'Kenyan News and Politics' started by Mohammed Shossi, Jan 26, 2011.

 1. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160

  Sisi tukiwa kwenye mgao na hekaheka za kuilipa Dowans wenzetu wanahangaika kutokomeza tatizo la umeme kwenye nchi yao. Hongera zenu wana Kenya.
  [​IMG]
  Koeberg SA

  Kenya identifies sites for nuclear power plant
  13 August 2009 | By Wawunda Mwangasha

  Situated near Cape Town, Koeberg is the only nuclear power station on the African continent The government of Kenya has identified construction sites for a nuclear power plant, potentially the first in Africa outside South Africa.

  A senior engineer for the Kenyan government, Rolex Kirui, recently said one site has been identified near the coastal region and construction will begin as soon as an ongoing environmental study is completed.

  Kirui added that a second potential site has been identified in western Kenya, next to Lake Victoria.

  Plans for the nuclear plant’s construction were first announced by Kenya’s energy minister, Kiraitu Murungi, in October last year.

  Murungi recently told SciDev.Net that there is a shortage of 3,000 megawatts of electricity for the country. Kenya produces only 1,100 megawatts of electricity annually and is ranked 22nd in Africa.

  “With nuclear energy there is potential to generate four times that amount or even more,” he said.

  South Africa is the only county in Africa to have a fully operational nuclear power plant. Nigeria and Egypt are in the process of planning their own plants. Kenya is, however, the first to both identify a site and undergo an environmental study.

  The construction of the Ksh80 billion (US$1 billion) project could begin in September 2010 once a feasibility study is complete. However, it will take at least five years before the plant is operational as extensive inspection must be carried out by authorities such as the Radiation Protection Board and the National Environmental Management Authority.

  www.constructionkenya.com
   
 2. Trustme

  Trustme JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,172
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Sasa kaka hujui sector ya nishati hapa bongo ndiyo sahani la viongozi wetu! hawataweza kuwekeza kwenye nishati ya uhakika ya umeme coz wanajua wanachokifanya sasa hivi! INawezekanaje mikataba yoote iliyoingiwa na sirikali yetu kwenye nishati ya umeme iwe feki/mibovu! Kwani wasingeweza kujifunza kwenye kosa la kwanza na wajirekebishe! Hawa ni mijizi tu
   
 3. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Nadhani tatizo la hapa kwetu ni kubwa kuliko unavyolielezea, siasa ikiacha kuingia kwenye mambo ya kitaalamu nina uhakika nchi itasonga mbele na watu wataishi maisha ya ki utu zaidi.
   
 4. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Sisi viongozi wetu wako busy kuiba hata hawafikirii wakistaafu watapitaje mitaani!
   
 5. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sisi ni wataalamu wa longo longo!
   
 6. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  watankuja kutuuzia umeme sisi tuokalia siasa tu
   
 7. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Halafu katika mambo makubwa kama haya bado mtu aninijia na upumbavu eti unajua wewe ni MKRISTO, yule ni MHINDU na wale ni WAISLAMU halafu na sisi kwa akili za panzi tunaanza kuzuzuka nazo barabarani kana kwamba umasikini CCM inapotungiza katika lindi kubwa la umasikini watu kwanza huulizwa dini zao.

  Jamani viongozi wa upinzani tutaonana wabaya sasa hivi tu, CCM haiwezi kutuibia kura, ituibie fedha kwa umeme feki, ituibia kwa meremeta, epa na bado tuendelee kulitunza eti kwa wimbo wa 'AMANI NA UTULIVU WETU'.

  Heri kufa kishujaa kama wanaapolo wa Arusha kuliko kuishi kwa aibu ya aina hii!! Inauma sana, bore nisingekua na elimu labda nisingeumia kitu kwa sababu hata kutofautisha usiku na mchana ningekua naitegemea ikulu kwa busara zake iniambie!!!
   
 8. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  watatuuzia umeme kwa bei juu, nasi tutawapa uranium kwa bei ya chee. stupid CCM!!
   
 9. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #9
  Jan 26, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  yaani mie hilo la Udini linanikera kweli!wanapoona mambo mambo hayaendi wanaanza kutuchonganisha kwa udini,utafikiri huku mtaani,mashuleni ,makazini tunaishi kwa ukristo na uislam.CCM watu wabaya sana.wanataka kutuvuruga kwa kutetea maslahi yao.Kama kweli kungekua na udini sie huku mitaani tusingeishi pamoja kwa kuheshimiana na kusaidiana.wanakuza mambo ili kundi fulani lionekane linaonewa wakati huo watu wakisahau wanavyotuingiza kwenye matatizo makubwa ya umasikini.
   
 10. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #10
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Sisi tuna uranium tumelala hatuna mipango ya kuweza kuitumia kwa ajili ya power generation sijui lini wanaopanga sera wataamka!
   
 11. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Mkuu cc bado tuko kwenye siasa za longo longo na kulindana wakati wenzetu wanafikiria mbali. Good job Kenya!
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,847
  Trophy Points: 280
  poa itabidi watuuzie umeme tu sisi wana wa ccm ...hafdi ccm iondoke ndio haya mambo yote ytaisha
   
 13. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #13
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Kweli wanastahili pongezi.

  Screen-shots of both renders and the site from citizen and NTV videos:

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,465
  Likes Received: 19,847
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 15. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 257
  Trophy Points: 180
  jamani wenzetu KENYA loooh!!!!! nuclear power plant, CCM hawana mpango huo, halafu eti kesho tutalalamika bidhaa za Kenya bei chee, kwa mtindo huu tusije ona ajabu hao wakenya wakawa walichukua mipango hiyo toka Bongo, maana nasi hatujambo kwa maandiko bora, utekelezaji mmmhhhh! hakuna bwana maisha ni mipango na utekelezaji, sio kukualia majungu na mipango ya namna gani kusuka kampuni feki kuliibia TAIFA
   
 16. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #16
  Jan 26, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Screen-shots of both renders and the site from citizen and NTV videos:

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]
   
 17. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #17
  Jan 26, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Mkuu kama hatutaendelea kukesha kama tunavyofanya sasa, yaani kulala usingizi wa mang'amung'amu kifikra, basi SISIEM watatuibia hata akili zetu. Sasa hiyo itakuwa ni kilio na kusaga meno. Tuseme hapana kulala kifikra. ili akili zetu zisichukuliwe kama mateka na kutupwa huku na huku kama wimbi linavyorushwa na upepo.
   
 18. d

  damn JF-Expert Member

  #18
  Jan 26, 2011
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 585
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  bado tunawateua hawara zetu posts za u-dc na ukurugenzi. mtuvumilie tu
   
 19. n

  nomasana JF-Expert Member

  #19
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 60
  kenya desperately needs energy its not even funny. we even importing this juice all the way from zambia. i hope the kenyan govt follows through with this project but with the kenyan govt you just never know.
   
 20. b

  bagamoyo JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Taarifa za kiintelejensia Kenya hawana uwezo wa kuwa na kinu cha Umeme wa Nuklia. Uwezo ambao Kenya hawana ni wa kitaalamu, kiuchumi, miundombinu(miundomsingi) na usalama.

  Hivyo hii habari ni kawaida Kenya kujiona wapo matawi ya juu wakati wanajua hizo ni ndoto za mchana.
   
Loading...