Kenya: Helikopta za UBER zaanza kuhudumu kama teksi

Kenya: Helikopta za UBER zaanza kuhudumu kama teksi

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,276
1473093210576.jpg
Baada ya uzinduzi wa safari ya teksi kupitia mtandao wa Uber, sasa kampuni ya Uber, imedokeza kuanzisha njia ya usafiri kupitia ndege maarufu Uber Chopper nchini Kenya.

Kampuni hiyo inalenga kushirikiana na Coporate Helicopter katika uanzilishi wa safari ya kwanza ya Uber Chopper.

Ingawa huduma ya Uber Chopper inapatikana katika nchi ya Marekani na mji wa Dubai, Wakenya walipata kionjo cha safari hiyo mjini Nairobi.
 
Back
Top Bottom