Ilipaswa ili kushinda kwa round ya kwanza mshindi apate 2 third ya kura zote ambazo ni 144.
Round ya pili pia inapaswa mshindi apate hizo, ikishindikana hapo itarudiwa round ya tatu ambapo mshindi anapatikana kwa simple majority, yaani mwenye kura nyingi ndo mshindi.