1. Bunge la 10 la Kenya litaapishwa tarehe 15 Januari, 2008 yaan Jumanne wiki ijayo.
2. Rais Kufuor aingia Nairobi kesho kuanza mediation talks.
3. Kibaki ajaribu kumualika Raila ikulu waonngee ana kwa ana. Raila amekataa akisema kwamba hii ni njama ya kujaribu kuinfluence jamii ya kimataifa na wasuluhishi kama kina AU. Amesema atakutana na PNU only wakati wapatanishi watakapofika nakuanza kazi yao.
4. Law Society of Kenya (LSK) imesoma ripoti za ECK na imesemea kulingana na sheria za Kenya:
a) Wamemfuta Kivuitu toka kwenye Roll of Honors or rejista ya mawakili na wanasheria
b) Kibaki is in State-House illegaly and he is technically not the President of Kenya for being sworn in illegally
c) AG and Cj waliomuapisha Kibaki wajiuzulu na washtakiwe mbele ya mahakama. Mkuu wa polisi vile vile.
d) ECK na mkuu wao Kivuitu wafutiliwe mbali mara moja na kufunguliwa mashtaka.
d). Uchaguzi mwengine ufanywe mara moja lakini uwe tu wa Urais kwajili ule wa Ubunge hauna utata.
e). Jendayi Fraser, naibu wa Condoleeza Rice asema kwamba Kibaki na Raila wote wako ready kwa talks lakini wana masharti makubwa kila mmoja.
f) British Foreign Secretary awaambia House of Commons/Parliament kwamba power-sharing eti ndio the only way forward.
g) Alisema all the allegations of fraud in the elections should be investigated and the criminals brought to justice.
h) Kufikia sasa watu 486 wamefariki, 250,000 wameachwa bila makao.
i) Kenyans abroad esp in US, Germany and UK wafanya maandamano wakiitisha kujiuzulu kwa Mr Mwai Kibaki mara moja.
j) Kibaki aingia woga marais wa Afrika wanamsusa na atuma Uhuru kwa JK kujaribu kuomba sapot. JK akataa. Tunashukuru kwa hilo. Mungu ibarike Tanzania.
k). The only peaceful solution is for Mr. Kibaki to resign immediately. (Nafahamu kuna walouliza maswali kuhusu hili. Ntarejea na hili kwa post nyingine baada ya kupata cha jioni.)
Na huyu odinga yuko dar es salaam sasa hivi kwa mazungumzo na baadhi ya viongozi wa tanzania wakati mkapa ameelekea kenya kusulugisha mambo
NO UJUMBE WA RAILA KUONANA NA JK UMEONGOZWA NA KATIBU MKUU WA ODM ANYANG NYONG.., NA JOSEPH NYAGAH..WAMEMPA BARUA YA RAILA...JIONI HII[SAA MOJA]....BAADAYE WAMEELEKEA HOTELI WALIYOFIKIA [KILIS] KUONANA NA WATU WENGINE ...WENGINE WAKIWEMO WAKENYA WATAKAOPATA FURSA...KESHO WANAMJOIN RAILA KWENYE MKUTANO WAO WA KWANZA NA KIBAKI..SEHEMU AMBAYO HAIJAJULIKANA NADHANI HAITAKUWA IKULU...ITAKUWA NEUTRAL GROUND...
NASHANGAA SANA KAMA JK ATAWEZA KUWASAIDIA HALI HAPO ZNZ PZMEMSHINDA..PIA NAWASIFU WANASIASA WA KENYA WAKO STRATEGIST KIASI CHA KU MAKE IMPACT..SIO KAMA HAPA MAALIM KILA MWAKA WANAIBIWA URAIS ..LAKINI ANAFANYA PROPAGANDA ZA KITOTO ZA KUTIA VISIMA MAVI AU KUSUSA ..BILA MALENGO...SASA AJIFUNZE NAMNA KINA RAILA WANAVYOSTAGE POPULAR APPRISING,DIPLOMATIC MOVES,POLITICAL....PROPAGANDA ZA MAANA..ETS ..YAANI WANA MAKE NEWS ....NA SAUTI INASIKIKA ...SIO MAALIM AKISHINDWA ANAENDA KUJIFICHA ULAYA...WAKATI URAIS UPO ZANZIBAR..HIYO NI KWABETRAY WALIOKUPIGIA KURA..
SASA WAPINZANI NAO WAJIFUNZE NAMNA YA KUTETEA HAKI ...
SIO KAMA HAPA MAALIM KILA MWAKA WANAIBIWA URAIS ..LAKINI ANAFANYA PROPAGANDA ZA KITOTO ZA KUTIA VISIMA MAVI AU KUSUSA ..BILA MALENGO
Mikael, between Maalim na Raila, Maalim alichukua uamuzi wa maana badala ya kufan the flame of passions with rhetorics. Raila inawezekana amefanya strategies ikiwemo kufumbia macho mauaji makubwa ili watu wa sympathize naye kwani mauaji yaliyotokea Kenya yamemnufaisha zaidi Raila then anybody else..
The strategy of bloodshed is in itself a strategy of failure!
Mikael, between Maalim na Raila, Maalim alichukua uamuzi wa maana badala ya kufan the flame of passions with rhetorics. Raila inawezekana amefanya strategies ikiwemo kufumbia macho mauaji makubwa ili watu wa sympathize naye kwani mauaji yaliyotokea Kenya yamemnufaisha zaidi Raila then anybody else..
The strategy of bloodshed is in itself a strategy of failure!
Ushindi ni lazima lakini siyo kwa mauaji ya watu wasio na hatia. Kama Raila anataka kumwaga damu waende kushambulia mali za kina Kibaki na siyo kushambulia kila Mkikuyu! au mtu ambaye anapingana nao.
Mtanzania ANC walikuwa wanashambulia mali na vitu vya makaburu. Hawakuwa wanashambulia kila mtu mweupe wanayekutana naye njiani! There is no comparison between what is happening in Kenya and what happened in South Africa during the liberation struggle; none whatsoever.
Hii hapa ni ODM strategy sijui kama tayari watu washaiweka humu JF maana JF inatisha kama njaa babake.
See attached document
Mhhh,
katika hii dunia nimeona vitu fake vikiwasilishwa kama original but hii hata mtoto mdogo angefanya kazi nzuri kuipamba. Uongo na propaganda zingine zinafanywa kitoto no wonder Kibaki ameiba kwa wazi hadi viongozi wenzake wanamcheka.
Document hata haina signatures? Official documents hazina hata labels kama documents zingine za ODM ambazo zimeonekana all over Kenya?
Aliyetengeneza inabidi sio tu afundishwe kughushi, bali pia achapwe viboko 12 asubuhi na jioni kwa siku 30 kwa kufanya kazi ya kitoto huku akidhani yeye ni Pro.
Mtoto wa mkulima umeingia mkenge ndugu yangu irudishe tu ulikoitoa maana hii hata mashada ambako ni pro-kibaki imekataliwa na watetezi wa kibaki mwenyewe.
Poor Kibaki so desperate, waulize ccm wakusaidie namna ya kuiba kura na kisha kuwekea wapinzani wako mabomu na vitu vingine ili waonekane hawafai. hii umemchesha!
Ushindi ni lazima lakini siyo kwa mauaji ya watu wasio na hatia. Kama Raila anataka kumwaga damu waende kushambulia mali za kina Kibaki na siyo kushambulia kila Mkikuyu! au mtu ambaye anapingana nao.
Mtanzania ANC walikuwa wanashambulia mali na vitu vya makaburu. Hawakuwa wanashambulia kila mtu mweupe wanayekutana naye njiani! There is no comparison between what is happening in Kenya and what happened in South Africa during the liberation struggle; none whatsoever.
hahahahah Mwafrica kweli umenichekesha sana. Yah hiz ni propaganda tuu zinazunguka kwenye mitandao. Hiyo imekuja kwa e mail kama mara mbili tuu ila kama ulivyosema huyu jamaa angerudi na kufanya kazi tena.