Yona F. Maro
R I P
- Nov 2, 2006
- 4,201
- 255
Jamani kaka Yangu Kitila Mkumbo amezimia!!! mbona simsikii!!!
MIMI NINA IMANI MUNGU ATATUEPUSHIA MAUAJI YA RWANDA, WAKENYA NI WATU WEREVU!!! NA MFULULIZO WA MASHUDA KUTOKA PNU NA ECK WANAOTOKEA WAMETUMWA NA MUNGU ILI HAKI ITENDEKE...
KWA IMANI ZETU NYOTE TUSEME AMEEN/AMIN
Currently Active Users Viewing This Thread: 90 (43 members and 47 guests)
NakuliliaTanzania, tanzactive, Mlalahoi, Keil, Shiduki, Masatu, Mtu, Jasusi, Zitto, mwafrika, Mtu Mzima, mkamap, Keen, MSAUZI, COMRADE44, kilitime, Jembajemba, kakindomaster, Rwabugiri, Mzuzu, johnshaaban, Kenyan-Tanzanian, Mtanzania, shemzigwa, Kitila Mkumbo, Verily Verily, Dua, Kadogoo, gamba la nyoka, green29, Halisi, Pundit, ulate, eddy, sabasaba, KULIKONI UGHAIB, LUGASA, nampula, kapinga, mtu66, jamco_za, maya, Koba
Kwakweli inatia huruma na hasira sana! Hapo CCM wapo macho yamewatoka kama mijusi wakijua nao zahama yao inakuja 2010! ''Wapeni wananchi kitu ile inataka!''
Mungu aepushe Rwanda nyingine!
SARAKASI INAENDELA SASA !!!!!!!!!!!!!
ALIYEKUWA MBUNGE WA JUJA HUKO CENTRAL AMBAYE NI MKIKUYU PIA ANAONGEA KWA WAKENYA LIVE KWA KTN
ANASEMA KURA ZILIIBIWA NA KIBAKI ALIAPATA 48, 000 HUKO JUJA NA ALISHUHUDIA MWENYEWE NA MACHO MABOXI YAKIINGIZWA NA KURA HARAMU HADI ZIKAFIKA 103, 000 YA KIBAKI
AMESEMA PIA ANAOGOPEA MAISHA YAKE LAKINI AMEONA NCHI INAINGIA TABU YA KIRWANDA NA AMEKUJA KUSEMA UKWELI ULIOFANYIKA
ANAITWA WILLIAM KABOGO NA NI MILIIONAIRE MWENYE HELIKOPTA YAKE NA AMEAPA WIZI WA KURA ULIFANYIKA KWA ENEO BUNGE LAKE!
STIMA IMEPOTEA KICC
SASA CARDINALI JOHN NJUE AMBAYE PIA NI MKIKUYU NA ALISAPOT KIBAKI KWA KAMPEINI ANAONGEAA SASA KWA MEDIA
ANASEMA AMANI KWA WAKENYA WOTE
Njia pekee ya kuiepusha ni Kibaki kukubali kushindwa!
Lakini kama atakomaa na msimamo wa kwamba kashinda basi hakuna kingine zaidi ya hicho, wakikuyu wote itabidi warudi Central, maana kuishi mikoa mingine na esp. ya Magharibi na Nyanza, itakuwa ni ku-risk kuuawa ama kuvamia na "majambazi" kila siku. Hapo ndipo hata hao wakikuyu wanaomuunga mkono Kibaki watagundua kwamba walifanya kosa.

Azimio Jipya Unafikiri Fujo Na Vitisho Ndio Suluhisho La Kupata Democrasia Makini Na Haki Zako ?
Jamani kaka Yangu Kitila Mkumbo amezimia!!! mbona simsikii!!!
MIMI NINA IMANI MUNGU ATATUEPUSHIA MAUAJI YA RWANDA, WAKENYA NI WATU WEREVU!!! NA MFULULIZO WA MASHUDA KUTOKA PNU NA ECK WANAOTOKEA WAMETUMWA NA MUNGU ILI HAKI ITENDEKE...
KWA IMANI ZETU WOTE TUSEME AMEEN/AMIN
matokeo yametangazwa na kibaki ameshinda
Mwafrika said:Matokeo yametangazwa na kibaki amepata 4.5 milioni wakati Raila amepata 4.3 million